Mkuu
Fadhili Paulo labda ungaelezea kidogo hiyo wifi unayotaka ufanyiwe installation ni kwa ajili ya matumizi gani labda mfano kampuni, organisation, office, internet cafe au kwa matumizi ya n yumbani tu? Maana kufanya installation lazima mtu ajue mahitaji yako ndo akupangie gharama, saa nyingene labda hata wewe unaweza kufanya installation kama utaelekezwa cha kufanya kulingana mahitaji yako