WI-FI

WI-FI

Chriss yoyo

Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
6
Reaction score
0
PC yangu ya dell haiconnect wala kuonesha list za wifi. Nn tatzo, maana ile seheme ya network kuna alama X
 
nilipata tatizo kama wewe,liliisha baada ya kupadate window.
mwanzo nilikua naunganisha kama kawaida,baadaye WI Fi key ilikua haiwaki hata ukiiwasha,ukiwasha hotspot pc ilikua haidetect kitu
Windows 7
 
Back
Top Bottom