Unakiwa uwashe hotspot kwa simu moja hio ingine washa wi-fi inase mawimbi ya hotspot kutoka simu ya kwannza
Fanya hivi : simu ya kwnza
Ingia settings --> wireless & networks
Then chagua tethering hotsopt
Chagua tethering wireless
Kuna nafas za kujaza jina la tethering wifi yako na password
Ni juu yako kuweka jina na password au unaweza kuacha kama ilivyo.
Simu ya pili
Ingia settings
Chagua wireless & networks
Then
Chagua wi-fi settings
Enable wi-fi
Subiri uone kama jina la tether wifi ya simu ya kwanza linaonekana
Ikiwa tayari unganisha utumie 100 mb