mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
Hiki kitu nilikuwa sijakifahamu, Baada ya juzi kati natengeneza campaigns kwe admobs za app zangu nakuta total reach ya wa TZ wenye uwezo wa kudownload app ni only 1.3M,,,!! hapo sijatoa wale hawajui hata playstore ni nini, kaz zao ni kupiha na kupokea simu na kuchat whatsapp,cjaweka wale simu zao zinajaa sana memory kea haraka hasa hawa wa sasa,,, That y unakuta app nyingi za kibongo zinaishia 100k downloads,,!!
So developer wa Kibongo wenye malengo za 10M+ downloads ni wakat wa kuanza kufyatua apps na kutarget dinia nzima!! thanks!!!!

So developer wa Kibongo wenye malengo za 10M+ downloads ni wakat wa kuanza kufyatua apps na kutarget dinia nzima!! thanks!!!!