Why Tanzania needs a New President from 2025

Mama Samiah is not a presidential material. She can just resign
 
Kuna matatizo ambayo yalipata majibu japo kwa kiasi enzi za JPM ila ni kama matatizo hayo yameanza kurudi kwa kasi mfano kukatika kwa umeme na ucheweshwaji wa miradi haya matatizo yanahitaji muarobaini naiman serikali hii inao huo muarobaoni.
 
Mapinduzi ya kijeshi huwa hayafanywi na wanajeshi wote, hasa hao wenye vyeo vya juu. Mara nyingi hufanywa na wachache, hasa wa vyeo vya chini. Kwenye hoja yangu ndio nikasema labda machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi lakini sio mazungumzo.
Uko sahihi swali linabaki pale pale hao wanajeshi wenye nafasi za chini wenye kufanya mapinduzi watatoka wapi ambao watakuwa na spirit kama ya yakina Thomas Sankara?

Muhamasishaji wa machafuko atakuwa Nani? Ukizingatia na ujinga ambao umezaa tabia ya uoga hata wa kushindwa kudai haki za msingi.
 

Mwaka 1982 waliotaka kumpindua Nyerere walikuwa ni WA vyeo vya chini. Mkuu unaijua historia hiyo?
 
And that new president should not be from CCM
Tanzania tunatakiwa kufanya reforms za kuvunja mizizi na kuleta new regime,ambayo inatakiwa kuwa kwa ajili ya interest of people na protection of the people rights sio huu wa wachache wezi.
 
Ndio maana humu ni home of great thinkers,Kuna fanya kuibuka kwa hoja muhimu sana ili kufanya hoja iwe na nyama zaidi ile kuleta mageuzi katika taifa letu.

Binafsi naona ni muhimu kufanya taifa jipya, kwa kuweka mifumo mipya na thabiti,juu ya kulinda taifa na watu wake sio kundi la wachache wenye kufaidika na keki ya taifa, uku umma ukilia katika janga la umasikini wa kutupwa,usio fanana na maisha ya kuishi binadamu wa kawaida.

Swali muhimu linakuja je,Nani atabeba majukumu muhimu ya mageuzi ya kuleta new constitution na kuitoa ccm madarakani? ukizingatia kwenye mifumo ya taifa CCM imeonekana kuwa na nguvu na ushawishi mkubwa hapa nalenga idara nyeti za taifa.
 
Mwaka 1982 waliotaka kumpindua Nyerere walikuwa ni WA vyeo vya chini. Mkuu unaijua historia hiyo?
Wenye uthubutu huo wapo mpaka sasa uko jeshini mkuu ?

Kuhusu historia nafaham mkuu,licha Kuna mengi napenda kujifunza zaidi.Maana humu ni chuo Cha maarifa kwangu.
 
Look keenly at Tanesco.
Taanesko ni sehemu yenye kichaka,ambacho taifa limepoteza pesa nyingi sana hasa ufisadi.

Ni aibu kwa taifa within 60s of independent still we are suffer alot katika kupata umeme wa uhakika.sekta na idara zote hakuna mafanikio ni rotten.
 
Hakuna matumaini ya kupata katiba mpya Chini ya CCM. Itakuwa Yale ya JK 2014.
hitimisho lako ni kuwa hatuwezi kupata katiba mpya chini ya CCM.Je,tunaweza iondoa CCM madaraka kama la katiba tu tumeshindwa?
 
Comparatively to the Sub Saharan Countries Economies SSH has done quite a great deal job.

-Covid 19
-War in Russia and Ukraine.
-Plus our common African Problems I would rather Commend SSH the as best Navigator.

Look at times she took over the Country and restoration of peace and tranquility she has managed to score on the table!

She needs a second Term which by then she would be trying her best to leave her Legacy!

Yes
She has 3 areas to clear the mess:
-Stable Power supply
-Lot 1 and 2 up to 4 SGR-Become live,operational and Economic Viable.
-Substantial Increase of Revenues from Dar Port.

If those areas are clearly addressed-All others can be quickly fixed and in that way the country shall gain a rapid Economic Growth.

So we need to Support the current Regime but also to help the same to see the gaps which hinders Growth.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
We need new constitution than a new face of a president. Our main problem based on constitution, than a person as a president.
Just write in kiswahili.Using appropriate grammar is important because it contributes to clarity.A word of a advice.Stick to writing in English.No pun intended.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…