Hao jamaa walikuwa Kibiti, Tanzania wakauliwa wengine waliobaki wakakimbilia Msumbiji.Tanzania, might be facing threats of extreme terrorism in coming days .
This is are the 3 reasons why;
1.The leadership of ISIS in Mozambique is Tanzanian youth who were inspired into Islamic Fundamentalism by Kenya radical preacher Aboud Rogo. In DRC, dozens of Tanzanians are leading the Islamic States group ISCAP further complicating scope of counter extremism operations in the region. It is highly possible grassroots jihadists with foreign training will conduct attacks in the country. However what is not clear is which Islamist group will be responsible. Both Al-Qaeda and ISIS have presence in the country.
2.The country has produced a significant number of fighters operating in Somalia, Mozambique, and DRC.
3 Tanzanians Captured Fighting for Al-Shabaab in Afmadow, Southern Somalia
Thursday, 25th July 2019, Latest military intelligence reports from Somalia indicate that three (3) Tanzanians fighting for the Al-Qaeda affiliate, Al-Shabaab have been captured in a military operation conducted in Afmadow, Somalia. Military source...intelligencebriefs.com
3.Presence radical clerics and cells reqruiting jobless youths without government knowledge.
Hao jamaa walikuwa Kibiti, Tanzania wakauliwa wengine waliobaki wakakimbilia Msumbiji.
unaongea kwa hisia na mtu akisoma kama ana uelewa na haya mambo anaweza kukubali ila jaribu kutafiti kwanza namna ya watu jinsi walivyo hulka yao na mazingira wanayoishi je ni rahisi kihivyo.?Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.
Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.
Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.
Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).
Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.
Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.
Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.
Watu wanaona bora wajilipue tu.
Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.
Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
We might be rivals but sometimes you guys have to take some things seriously. Terrorists aren't your allies and they are moving South After failing in Kenya. Rogo was a deadly radicalization Master in Kenya that worked with Al Shabaab and ISIS to radicalize East African Muslim youths including Tanzania.Coming from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?
Hotels face Sh800m hit over Dusit attack
The effects of a terrorist attack in January at the DusitD2 Hotel complex and offices are set to affect this year’s hotel earnings.www.businessdailyafrica.com
Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!
Somalia: President Farmajo More of an Ally to Terrorism Than Against It
Somalia's president is no ally against terrorism<p>When Somalia's largely appointed Parliament and Senate elected Mohamed Abdullahi Mohamed, or Farmajo as he is better known, president, there was optimism in the West. Farmajo was young, he was a former prime minister and diplomat, and he had...menafn.com
Am not taking about Somalia read carefully and you will understand.Coming from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?
Hotels face Sh800m hit over Dusit attack
The effects of a terrorist attack in January at the DusitD2 Hotel complex and offices are set to affect this year’s hotel earnings.www.businessdailyafrica.com
Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!
Somalia: President Farmajo More of an Ally to Terrorism Than Against It
Somalia's president is no ally against terrorism<p>When Somalia's largely appointed Parliament and Senate elected Mohamed Abdullahi Mohamed, or Farmajo as he is better known, president, there was optimism in the West. Farmajo was young, he was a former prime minister and diplomat, and he had...menafn.com
We jamaa hujaa porojo zako tu!!. Wizi haufai tafuta shughuli ya kufanya.Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.
Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.
Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.
Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).
Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.
Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.
Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.
Watu wanaona bora wajilipue tu.
Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.
Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
Tanzania haijafikia hali ya watu kukata tamaa na kuwa magaidi wale jamaa wa kibiti ni walikuwa ni wataalam waliopanga kuiharibu nchi.Hamna kitu kibaya kama jamii kuanza kuhisi kwamba magaidi wana point kutokana na ugumu wa maisha, wakianza kuwaona kama wapigania uhuru, hapo ndio huwa mwanzo wa matatizo makubwa.
Kaka haya matatizo unayoyazungumzia tulikua nayo hapa Tanzania tangu tunapata Uhuru. Enzi za Mwalimu Nyerere hali ya Uchumi na ajira ilikua mbaya zaidi, MZEE Mwinyi alipoingiza Azimio la Zanzibar, unajua vizuri sana kilichotokea hadi wahisani wote wakasimamisha misaada yao, Jakaya Kikwete alipoteuliwa kuwa Waziri wa Fedha, ndiye aliyefanya kazi kubwa kwenda kuwashawishi kurudisha Misaada.Tanzania, might be facing threats of extreme terrorism in coming days .
This is are the 3 reasons why;
1.The leadership of ISIS in Mozambique is Tanzanian youth who were inspired into Islamic Fundamentalism by Kenya radical preacher Aboud Rogo. In DRC, dozens of Tanzanians are leading the Islamic States group ISCAP further complicating scope of counter extremism operations in the region. It is highly possible grassroots jihadists with foreign training will conduct attacks in the country. However what is not clear is which Islamist group will be responsible. Both Al-Qaeda and ISIS have presence in the country.
2.The country has produced a significant number of fighters operating in Somalia, Mozambique, and DRC.
3 Tanzanians Captured Fighting for Al-Shabaab in Afmadow, Southern Somalia
Thursday, 25th July 2019, Latest military intelligence reports from Somalia indicate that three (3) Tanzanians fighting for the Al-Qaeda affiliate, Al-Shabaab have been captured in a military operation conducted in Afmadow, Somalia. Military source...intelligencebriefs.com
3.Presence radical clerics and cells reqruiting jobless youths without government knowledge.
Kenya mnashambuliwa sana na Ugaidi kutokana na sababu kuu 3Am not taking about Somalia here read carefully and you will understand.
Unamaanisha nini ukisema hamjafika hali ya watu kukata tamaa? Unajua ni watanzania wangapi tumeshika huku Kenya wakijaribu kuingia Somalia??Tanzania haijafikia hali ya watu kukata tamaa na kuwa magaidi wale jamaa wa kibiti ni walikuwa ni wataalam waliopanga kuiharibu nchi.
We jamaa hujaa porojo zako tu!!. Wizi haufai tafuta shughuli ya kufanya.
Unataka kutumia kipimo gani kuangalia kitimizwe ili ukubali ni rahisi au si rahisi?unaongea kwa hisia na mtu akisoma kama ana uelewa na haya mambo anaweza kukubali ila jaribu kutafiti kwanza namna ya watu jinsi walivyo hulka yao na mazingira wanayoishi je ni rahisi kihivyo.?
4) Dhulma, Kunyaland wameiba Somali territorial waters! Hapa wanawapa sababu Wasomali kuungana Jihadists na non Jihadists!Kenya mnashambuliwa sana na Ugaidi kutokana na sababu kuu 3
1) Jinsi mnavyowapiga na kudhibiti vikundi vya waasilamu maeneo ya pwani, viongozi wengi wa kiislam na vijana wameuliwa kinyama na kupitezwa, kuna chuki kubwa miongoni mwa waislamu na serikali ya Kenya.
2) Rushwa, Ukabila na upendeleo katika nchi yenu. Hivi vimesababisha watu wengi kujiona hawana haki ndani ya Kenya.
3) Udhahifu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya. Ni jambo la kushangaza kuona Ethiopia ambayo unapigana na Alshabaab miaka mingi hata kabla ya Kenya, Ethiopia ina wasomali wengi kuliko Kenya, Ethiopia ina mpaka mrefu na Somalia kuliko Kenya, lakini haishambuliwi kama inavyoshambuliwa Kenya.
Siwezi kuanza kujibishana na jobless.Kama hujaonesha porojo zangu ziko wapi, kwa nini hizo ni porojo, umezipima kwa kipimo gani, umewezaje kujiridhisha hizo ni porojo na unathibitishaje nimefanya wizi, wewe, kwa kusema mimi napiga porojo, na nafanya wizi, utakuwa unapiga porojo kubwa zaidi yangu.
Huwezi kujibishana wakati tayari unajibishana hata unapoandika huwezi kujibishana?Siwezi kuanza kujibishana na jobless.
Acha wizi. Usidhani hujulikani. Huu ni ushauri wa bure.