Why Rwanda is set to become the next Singapore

Either Kagame is the most powerful president in the world to buy even the IFC Vice President or unaongea pumba...which is which?

why bother answer, kichwani kwako wewe vyote hivyo ni true!
 
so if you have your poor with you in kibera how different are you with tz? if you still sleep on mad why criticize your fellow who also sleeps on mad? i thought you didn't have poor people, can't you shut up your mouth and instead deal with your internal problems? by the way, i hope you are not influenced by jealousy
 

I never considered Kenya to be developed than Tanzania where the wealth is owened by 5% of the population at the same time Kenyatta family owns 15% of the land. I always consider Kenyans to be f.o.o.l.i.s.h.people who allows one tribe to control every aspect of the national cake including presidency and pretend to have a good governce. Zanzibar is not a big issue it can depart at any time it won't affect mainland except them they will be affected, by the way Zanzibar gives us a lot of bad records due to violence based in hatred based in religion the replica of Kenya hatred based in tribalism
 
Last edited by a moderator:

kanchi ka kitu kidogo!!
 

TANZANIA ingekuwa dhaifu kimaamuzi na kupenda misifa kama KENYA na majirani zetu wengine ungekuta EA ni koloni la mataifa ya magharibi huku uchumi ukiwa juu lakini ukiwa umeshikiliwa na mabepari kama ilivyo nchi ya kitu kidogo ya KENYA iliyotikiswa na wanamgambo wanne wa kisomali huku askari wakijifariji kwa chupa za maji badala ya kuokoa Taifa.
 
Kigali Rwanda nimefika na Singapore kote nimefika. Mazingira.Tamaduni.Elimu.Kujituma.Sheria kwa nchi hizi ni mbingu na ardhi.
Acheni kusema msioyajua kwa uhakika.
Someni Jamani labda mtaacha kudanganya wenzenu.
Rwanda inaweza kufanya maendeleo lakini kuifikia Singapore wao watakuwa wamelala?
 
asante kwa kunilaisishia swali mkuu.
BTW wana issue na Wasomali pia kama ulimsikiliza vizuri Mbunge mwenye asili ya Kikenya aligusia kujitenga kwa North eastern province kama wakiendelea kubaguliwa Nairobi
 

maneno mazito sana haya lawmaina78 yasome kwa umakini.teh teh.
 
Last edited by a moderator:

We fanya yako, resources zipo Tanzania zinakwashia nini?

Wanaotengeneza hyo GDP wapo kazini sio wewe kupiga kelele humu
 
BTW wana issue na Wasomali pia kama ulimsikiliza vizuri Mbunge mwenye asili ya Kikenya aligusia kujitenga kwa North eastern province kama wakiendelea kubaguliwa Nairobi

Ukabila utaimaliza kenya

Halafu huyu lawmaina78 anakuja kifua mbele GDP ya Kenya kubwa asijue asilimia kubwa ni ya mabwana zao ulaya
 
Last edited by a moderator:

Kuna watu wanajidanganya sana, mbaya zaidi wanawaaminisha wengi uongo usio na maana

Wamemuona Kagame mungu wao kumbe hana kitu cha maana anachokifanya
 
Tribalist govts should get together.
Hawa jamaa et wako serious mbona wameruhusu familia chache zimiliki ardh ya kenya.
Rwanda jaman achen wajtahd la sivyo hal n mbaya ila n bora wangeomba msaada tz kwan chakula kinachozalishwa sumbawanga kinaweza kuilisha rwanda hata kwa miaka kumi,
 
Kuna watu wanajidanganya sana, mbaya zaidi wanawaaminisha wengi uongo usio na maana

Wamemuona Kagame mungu wao kumbe hana kitu cha maana anachokifanya

Yaani yeye yuko pale kuwatetea kabila lake tu, anawapeleka kusoma nje, madaraka na jeshini. Sasa hiyo itakuja kumcost sana
 
Congrats Rwandans keep on struggling as you strive to prosper ultimately Democracy gonna open its doors. To me Kagame is embracing Development which will pay dividends on his leadership. Bongos we must stop Childish envy to our neighbors lets face realities we are damn backward for reasons best known by Ruling Party.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…