First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo..
.....is that true somebody kasema watu tulosomea fani ya marketing,education and sociology tumewekwa pending... mmmh????
Anyway mwaka ushaanza na bado mwanga wa kupata ajira ishakuwa gundu.... mmm kujiajir financial problems... vibarua havieleweki..had tunamuuliza muumba why not us.....
Best wishes mloitwa kwa interview
Pls I need advice mlopata kazi mlipitia tabu kama hizi???
Tatizo mlikimbia masomo ya science sASA Mmejazana sijui law,socialogy,teaching nk....washaurini wadogo zenu wasome sayansi bwana....akh yani kuna chuo fulani ata wanaosomea ualimu ni wamasomo ya sanaa tu sasa ajira ndo kiboko ata km unakadegree kasanaa
ICHANA Why not us called PCCB for interview?????
Naendelea kufikiria maana yake...Ujumbe haueleweki.
ukiona ujumbe hauelewi ujue kuw haukuhusu, wahusika wameelewa na wamejibu
Wewe ndiyo hujanielewa. ICHANA analalamika hajaitwa kwenye usaili. Angalia kichwa cha hii "thread" - Why not us called PCCB for interview?????. Ni dhahiri kabisa kwamba uwezo wake wa lugha ni mdogo! Inawezekana barua yake ya maombi iliandikwa kwa mtindo huu. Makosa ya herufi yanakubalika lakini makosa ya "grammar" hayakubaliki, hasa lugha ya kiingereza! Tusiwe wepesi kulaumu kutokuchaguliwa!
we mwenye grammar nzuri mbona hujaitwa?
Masikini wee. Kwanza, kwataarifa yako, sikuomba hizo nafasi. Pili, wote hatuwezi kufanya kazi PCCB. Kuna maisha mazuri tu sehemu zingine, tena majani ni mabichi kuliko "kutumika" hapo PCCB.
Wewe ndiyo hujanielewa. ICHANA analalamika hajaitwa kwenye usaili. Angalia kichwa cha hii "thread" - Why not us called PCCB for interview?????. Ni dhahiri kabisa kwamba uwezo wake wa lugha ni mdogo! Inawezekana barua yake ya maombi iliandikwa kwa mtindo huu. Makosa ya herufi yanakubalika lakini makosa ya "grammar" hayakubaliki, hasa lugha ya kiingereza! Tusiwe wepesi kulaumu kutokuchaguliwa!
nadhan uwezo mdogo wa lugha ya kiingereza hata mbunge wako anao,lugha hii si yatu,je umeelewa content????usimuhamishe kwenye mada mdau
Hukuomba kwakuwa haukuwa na vigezo vilivyo ainishwa.... ni kweli wote hatuwez fanya kazi pccb na unajijua kuwa haukuomba kwahyo kilichokuleta kwenye huu uzi ni umbea tu na si kingine
First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo..
.....is that true somebody kasema watu tulosomea fani ya marketing,education and sociology tumewekwa pending... mmmh????
Anyway mwaka ushaanza na bado mwanga wa kupata ajira ishakuwa gundu.... mmm kujiajir financial problems... vibarua havieleweki..had tunamuuliza muumba why not us.....
Best wishes mloitwa kwa interview
Pls I need advice mlopata kazi mlipitia tabu kama hizi???
Kazi ninayoifanya inanitosha kabisa. Nimeridhika. Sihitaji kazi nyingine kwasasa.
Sasa unatafuta nini hapa, au ndio umekuja kukagua grammar???? nenda jukwaa la siasa ukabishane kuhusu zitto na lowassa
Tell him. Sijui jamaa ni me/ke?