Dumela mma, wena o kae?Walete katika nyumba inayoongozwa na vichaa hii watapona? Nyumba isiokuwa na walinzi kusimamia hata vetting ya mkuu wa familia?
Matokeo yake sasa nyumba kwa miaka kumi iko mikononi mwa kichaa anaehtaji kuwa mirembe.
Chumba kimoja cha nyumba ya familia, mkuu wa familia kichaa mlangoni kamweka tahahra kupima akili wenye akili timamu
its because Dar is run by bogus people!true dat
Normally the multinational companies establish their businesses where they believe can make the profit.
What other reason would compel them to open their business. Mbona huwa mnawaza kama watu wenye mapungufu, kampuni yoyote huangalia faida kama moja wapo wa sababu za kufungua tawi sehemu.
Nikipata muda nitakupa darasa la multi-national enterprise management strategies 101, ila nina mashaka kama utakua na uwezo wa kuelewa chochote maana huwa mpo nyuma sana kiuelewa.
Hahaha....hapa wadanganyika wanapitia mbali.
Huu utumwa mtaacha lini? Mnatetea watu ambao wanakuja kuchukuwa your hard earn $$$ na kuipeleka kwao in terms of buying expensive services abroad. Halafu mnalia deficit is running wild. SMH
Wale mbwa bado wanatoa maziwa ya Nyayo?,ile ni aibu sio kwa Kenya tu bali kwa AfrikaKuna tofauti kubwa sana ya kampuni inayokuja kufanya biashara ndani ya nchi yako na kampuni inayokuja kuzoa raslimali za nchi na kupeleka kwao kama inavyofanyika Bongo kila siku, mumebaki mahandaki matupu na umaskini na kuendelea kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa Afrika.
Waut huwa hamna uchungu na nchi yenu, kazi kuwakenulia meno wazungu wakikwapua kila mlichoachiwa na babu zenu, bora hata Nyerere alivyosema vizuiwe vyote hadi siku mtafunguka akili, sasa tatizo hamkusubiri mfunguke, mliachia na kuendelea kuachia na kubaki maskini.
Hivi show ya Acaca kuwanunulia kila Mtanzania Noah iliishia wapi, yaani nyie ni wwakuonewa huruma kila siku, sasa ndugu zenu wameishia kuja kuwa omba omba Kenya baada ya nchi yenu kubaki mahandaki. Cha kusahangaza majirani zetu kama Somalia na Sudan Kusini kutwa vita lakini hutawaona wakiomba omba mfanyavyo, ni jambo la kutia huruma na aibu kubwa kwamba nyie tu ndio nchi inayozalisha omba omba na kuwatuma Kenya ukanda wote huu, ona hii video.
Hapo ndipo mnapo jidanganya mkifikiri Wazungu wanaiba rasilimali tuu zinazo onekana. Hivi unajuwa ni kiasi gani cha pesa hayo makampuni ya nje wanazowa Afrika na kwenda kujenga chumi zao? Unafikiri IBM, Microsoft Uber nk wanatoaje faida yao hapo Kenya na kuipeleka kwao. Unafikiri wanawapenda sana mpaka waje walete mtaji na waachie na faida? Mnajidanganya eti wanakuja kutuelimisha na watafanya biashara na watu wa hapa kwetu. Hakuna Mzungu mjinga wa hivyo, kinachokuja Kenya au Afrika ni kitu ambacho wamekifikiria kwao na kubakiza siri zao huko huko kwao. Mwisho wa siku waafrika tunabaki kuwa watumwa tu. Huwezi kuona nchi makini inakumbatia makampuni ya nje.Kuna tofauti kubwa sana ya kampuni inayokuja kufanya biashara ndani ya nchi yako na kampuni inayokuja kuzoa raslimali za nchi na kupeleka kwao kama inavyofanyika Bongo kila siku, mumebaki mahandaki matupu na umaskini na kuendelea kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa Afrika.
Waut huwa hamna uchungu na nchi yenu, kazi kuwakenulia meno wazungu wakikwapua kila mlichoachiwa na babu zenu, bora hata Nyerere alivyosema vizuiwe vyote hadi siku mtafunguka akili, sasa tatizo hamkusubiri mfunguke, mliachia na kuendelea kuachia na kubaki maskini.
Hivi show ya Acaca kuwanunulia kila Mtanzania Noah iliishia wapi, yaani nyie ni wwakuonewa huruma kila siku, sasa ndugu zenu wameishia kuja kuwa omba omba Kenya baada ya nchi yenu kubaki mahandaki. Cha kusahangaza majirani zetu kama Somalia na Sudan Kusini kutwa vita lakini hutawaona wakiomba omba mfanyavyo, ni jambo la kutia huruma na aibu kubwa kwamba nyie tu ndio nchi inayozalisha omba omba na kuwatuma Kenya ukanda wote huu, ona hii video.
Hapo ndipo mnapo jidanganya mkifikiri Wazungu wanaiba rasilimali tuu zinazo onekana. Hivi unajuwa ni kiasi gani cha pesa hayo makampuni ya nje wanazowa Afrika na kwenda kujenga chumi zao? Unafikiri IBM, Microsoft Uber nk wanatoaje faida yao hapo Kenya na kuipeleka kwao. Unafikiri wanawapenda sana mpaka waje walete mtaji na waachie na faida? Mnajidanganya eti wanakuja kutuelimisha na watafanya biashara na watu wa hapa kwetu. Hakuna Mzungu mjinga wa hivyo, kinachokuja Kenya au Afrika ni kitu ambacho wamekifikiria kwao na kubakiza siri zao huko huko kwao. Mwisho wa siku waafrika tunabaki kuwa watumwa tu. Huwezi kuona nchi makini inakumbatia makampuni ya nje.
Tabo Mbeki amepigia kampeni sana uwongo wa makampuni kama hayo unayoyatete hapa. $80 bilion ya Waafrika inazolewa kila mwaka na kuipeleka kujenga chumi za nje ya Afrika. Wakaiti wewe uko hapa JF unatetea upuuzi kama huu wenzako wanazowa pesa.
Unatia huruma kuwatetea wazungu hivi, ndio maana wanakalia ardhi Kenya na kuwaacha watu wenu kwa mamilioni hawana ardhi ya kuishi au kulima. Haya madini ya Tanzania wala yasikupe presha, hida sasa ni 9% tuu ya madini ndio yamechumbwa, na tumeshaanza kuwafungisha mizigo wawekezaji uchwara. Nasikia wengine wanakimbila Kenya.Narudia tena, kampuni inayokuja kufungua ofisi na kufanya biashara papa hapa ni tofauti na inayokuja kuzoa raslimali kama madini ikipeleka kwao kama wafanyavyo kwenu. Hayo mahandaki yenu mtayaziba, kwanza ukienda mikoa kunakozolewa madini huko kwenu ni umaskini mtupu, halafu nilishangaa mna hadi uwanja wa ndege ambazo zinatua na kuzoa na kutoweka.
Yaani maeneo ya kijijini, kame tupu lakini kuna uwanja wa ndege......nyie bana.
Unatia huruma kuwatetea wazungu hivi, ndio maana wanakalia ardhi Kenya na kuwaacha watu wenu kwa mamilioni hawana ardhi ya kuishi au kulima. Haya madini ya Tanzania wala yasikupe presha, hida sasa ni 9% tuu ya madini ndio yamechumbwa, na tumeshaanza kuwafungisha mizigo wawekezaji uchwara. Nasikia wengine wanakimbila Kenya.
Unapate presha na umasikini wetu wakati tuna lima chakula na kuwauzia Kenya?. Mbona ndugu zako wengi wanakuja kutafuta kazi huku na wengine wanapita njia za panya? Huu umasikini ndio unaiongezea kipato KQ kwa kujaza ndege zake huku Tanzania x46 kwa wiki? Inadhihirisha unashida ya kuelewa majadilinao ya kibiashara ya kiserikali, unafikiri serikali inafanya biashara kama ya kupiga rangi viatu River Road.Ulwaji wa madini yenu unanitia presha maana umaskini wenu unatuathiri, mumewashindwa kabisa jinsi ya kuwathibiti wazungu, juzi mumezunguka zunguka na hadithi za alfu ulela za noah mara Acaca watalipa mara makinikia haalfu kimyaa nyote.
Lindege la bombadia bado limeshikiliwa na hao hao Wakanada wanaozoa hayo madini yenu, miafrika bana, yaani ni kama mtu alale na mkeo na bado akupe kichapo na akulazimishe umpe hela.
Tanzania is too poor to make them break evenNormally the multinational companies establish their businesses where they believe can make the profit.