Why mwanaume utumie mkorogo?

Why mwanaume utumie mkorogo?

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,913
Reaction score
3,450
Siku zote nimekuwa nkiwaza kwanini mwanaume unadhubutu kupaka mkorogo ?
Kipi kinamsukuma mpaka aanze kujichubua?
Watu hawa huwa hwawaoni aibu?
Je familia zao huwa hawalioni hili?
Aibu kubwa mwanaume unakuwa na rangi mbili juu unang'aa chini mweusi tii...
Bahati mbaya wengi wao nimekuwa nikikutana nao kwenye mitaa hata maofisini hivi kweli ofisa mzima umekalia kitengo unajichubua kweli?
Ama kweli hii ndo nchi ya maajabu..yenye vingi vivutio.

Tujadili watu wanamna hii wafanywe nn au kusudio lao hasa huwa ni lipi katika jamii?
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 mkuu hayo yapo tunakoelekea wapi?
 
Ni kweli kabisa hilo tatizo lipo, Mfano : nyoshi el sadat, Bob junior

Hizo ni dalili nzuuuri kabisa za kusukumwa, Tabia za kike kufanya mwanaume sio poa kabisa.
Hatuwez kuwafanya chochote kwa kuwa hawajavunja sheria yoyote ya nchi, Ila ni kero Aisee
 
Hata mapozi ya kupiga picha ni ni balaa hao wengi wao wanaliwa ndogo wanalegeza mpaka sauti
 
Back
Top Bottom