Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Mimi sina Jazba, ila nashikwa na huzuni ninapoona hatari inayokuja juu yako unapozidi kumkashifu na kumtusi nabii wa Mungu,

Mimi ninakutahadharisha tu kwani watu wengi wamefedheheka na kudhalilika walipojitia katika mapambano na matusi dhidi ya Hadhrat Ahmad (as), Mungu ndiye aliyemfunulia Wahyi huu kwa lugha ya kiarabu tafsiri yake kwa kiswahili ni hii: "Mimi nitamfedhehesha yule anayekufedhehesha na nitamsaidia yule anayekusaidia".

Wewe umeingia katika kundi la kumfedhehesha, ninaiona hatari ya wewe kufedheheka, tubu mapema na uache kukopi kashfa na matusi dhidi yake kutoka kwa wapinzani wake bali tumia akili zako mwenyewe kumuomba Allah kwa unyenyekevu katika Swala zako (kama huwa unaswali) akujulishe ukwel wa Hadhrat Ahmad (as), acha kibri na majivuno na mdomo mchafu unaokopi kutoka kwa mahasimu wa Ahmadiyya----- "Ahmadiyya forward ever never backward".
MUNGU KAMUUMBUA NABBI BATILI MIRZA GHULAMU QADIAN.

katika kitabu chake kiitwacho Tadhkira ukurasa wa 9 vol B (nyekundu):

na pia Tadhikira ukurasa 243 kurasa C( nyekundu) na pia Tadhakira ukurasa 478 (nyekundu)

Mirza Ghulam ali jitokeza na kuambia wafuasi wake eti Allah ame mshushia wahyi (revelation) kwamba yeye Mirza umri wa uhai wake utakua miaka 80 (thamanini)au 85(thamanini na mitano) au 80 kasoro 4.yaani (76).

Tena kwenye ukurasa wa 478 na 869, kitabu hicho hicho ali hakikisha wafuasi wake kwamba lazima hili litokee kama udhibitisho wa Unabbi wake, lisipo timia jua kwamba ni Nabbi wa uongo (khazab).

Mirza Ghulam mwenyewe kuhusu mwaka wake wa kuzaliwa:

Ukurasa 2 (nyekundu) : nime zaliwa siku za mwishi za sikh (late sikhi days) mnamo mwaka 1839 au1840, na mnamo mwaka 1857 nilikua na umri wa miaka 16 (kumi nasita) au (kumi na saba) 17 sikua na ndevu au moustache.

hayo yote yakute kwenye kitabu chake Mirza (ruhani Khazain, Kitab ul Bariyyah, vol 13, P159)
1857-16= 1841
1857-17= 1840
Ukurasa wa kwanza (1) (nyekundu): Mirza kasema pia Baba angu Mirza Murtaza ali fariki ni kiwa na umri takriban miaka 34 au 35. (ruhani Khazain, Kitab ul Bariyyah, vol 13, kur192)
Kurasa ya 3 (nyekundu) :
kwamaana hiyo Baba ake ali fariki mnamo mwaka 1876. (tadhkira 1876)
1876-34=1842
1876-35=1841.
Sasa nyie Ahmadies au Qadianis mtuhesabia hiyo miaka 80 alio bashiri kuishi iko wapi hata mkitumia Gregorian calender au Hijra.
Kazaliwa 1839/40
Kafa. 1908=
68 au 69 umri wake alio ishi.
Manaake Mirza ali ishi miaka 68 au 69 hata 70 akufikisha loh!!!

Mirza alikua Nabbi wa uongo Allah kamuumbua.
Sasa wazee wa ku edit vitabu vyake kwa kiswahili kupotosha umma ya uislamu wame rudisha nyuma tarehe zake za kuzaliwa kua1835, lakini pia bado kufika miaka hiyo 80 au 85. Ni aibu kubwa kuamini Nabbi wa uongo.

Naomba nyie waQadiani/Ahmadiyya njooni mkanushe haya niwa uumbue zaidi na uongo wenu, mnafikiri wa Islamu wote hawana elimu.
 
Ukiweka picha kama hii kwenye gazeti au jarida lako jiandae kuchinjwa au kulipuliwa na bomu.

Hapo, Madhebu ya Al-Shababu, Al-Qaeda, ISIS, Shia, Sunni, Ismailia nk.
Wote wanaungana na wanakuwa na nia moja tu ya kukutoa roho yako.
Labda wa Ahamadia pekee wanaweza kukusamehe.
Ndo maana tunasema nyie Qadiani/Ahmadiyya sio waislamu, mna hidden agenda kuudhuru uislamu, tuna jua nyie mna shirikiana na maadui wa Uisilamu kuzalilisha Uislamu na Mtume wetu Muhammad (saw).......kama hapo juu ila, kamwe hamtashinda Uislam, na ushoga wenu...Allah atailinda Dini yake kama alivo ada
 
church of satan, gay church, catholic church, pentecostal church, baptist church .........................................................................
Makanisa ya mitaani ya kishikaji ambayo ndiyo yanaongoza kwa sasa kuwa na matukio ya hajabu. Wachungaji kulala na wake za waumini wao, kulala na Watoto, kulala na waimba kwaya, wachungaji kuomba kufilwa na baadhi ya waumini wao na watu bado tu wanawaamini.
 
kwani kuna kanisa limetoka kichakani ?? Makanisa yote yametoka mitaani mjini.
 
Makanisa ya vibaka kama Gwajima au Wachungaji wengine wasanii kama Masanja Mkandamizaji si ni ya mitaani tu yale? Wanawadanganya watu wao ni wachungaji ila chini ya carpet wana yao wanayafanya.
 
Jamani muache kukashifu na matusi plz uuzi utafungiwa,......mimi hapa na penda kutoa tu ukweli wa matapeli wa Dini ambao ni waQadiani walio jificha katika dini ya Uisilamu wakati sio, wana rubuni wa Tznia wenye elimu duni ku waingiza kwenye dini ya kitapeli, na wizi, na ushahidi ninao wakutosha, ndo maana wa mekimbia wanaogopa ukweli.......wangekua kama Dini zingine kama Bahai au ukirustu uyahudi umejitenga na uislamu vzri lakn hawa wanatumia uislamu kipata wafuasi na Nabbi wao fake Mirza Qadiani.
 
Basi Ahamadia ndio Waislam wenye akili timamu
Wako vizuri sana Ahamadiya, hawana jazba kama Madhebu mengine ya Kiislamu.
Kwa ufupi wamestaarabika, na dunia ya leo inataka madhebu kama Ahamadiya ambao wanathamini haki za binadamu wengine.
Madhebu kama Suni, Shia, Al-Shababu, na Iswap, wanatambua haki zao tu basi.
Na wanawaona Binadamu wa imani nyingine kama Makafiri tu wasio faa kuishi hapa kwetu duniani.
Ukiwa udhi kidogo tu hawana Msamaha ni kukuchinja tu.
We angalia mwislami mwenzao Salman Rushdie aliandika Kanovo tu akakaandika
"The Satanic Varse" Waislamu badala ya kukapotezea au kukajibu ili aonekane ni mwongo, Madhehebu yote isipokuwa Ahamadiya wamemtangazia Fatwa.
Yaani popote watakapo mpata watamchinja huku wanaimba "Allah Akbar"
Na hakuna msamaha, we huoni kuwa hawa jamaa wote ni ISIS.

Vitabu vingi sana vimetungwa kuukashifu Ukristo.
Umewahi kusikia mahali Wakristo wanapandisha jazba na kuvipiga marufuku ?
Na kutaka kuwachinja walioandika vitabu hivyo ?
Kule feri Mateja wanavutia bangi au sigara kurasa za Biblia,
Je ushawaona wanavutia kurasa za Qurani?
Wanaujua moto wake, ni kwamba ukiacha Ahamadiya madhehebu mengine yote ya Kiislamu ni hatari sana.
Kuna mtoto Mbagala alikojolea Qurani uliuona moto wake naona.

Ni kwamba uadui dhidi ya binadamu wengine upo mioyoni mwao wanasubiri kasababu kadogo tu ili wawachinje.
Ukiona mtu umemkwaa kwa bahati mbaya anakupiga ngumi nzito ujue sababu sio kitendo cha kumkwaa bali ni chuki iliyojijenga moyoni mwake muda mrefu dhidi yako.
Asanteni sana Ahamadiya. Endeleeni ustaarabu wa kuwapenda binadamu wengine.

Kama Mungu angetaka wote tuwe Dini moja angeweza tu.

Wewe binadamu ni nani hadi umchukie binadamu mwingine eti kwakuwa hafati mafundisho ya Mungu wako.

Si ubaki tu na huyo Mungu wako, mwisho akupeleke huko Ahera ukaishi naye.
 
Hapo na kuuga mkono kwa 100% kwa kweli wa Qadiani ni marafiki sana na wa kristu wana jipendekeza sana na nchi za mashoga kuliko waislamu wame jiuga katika jeshi la israel kuua wa Palestine, nchi zote za waislamu zime wafukuza ila za kikuristu na yahudi zime wa karibisha tena kwa ukarimu na ushirikiano, wa Qadiani wako tayari kwa lolote kuendeleza uhusiano wao na mashoga au wa yahudi wanajiita 'Liberal Muslim', katika Uislamu hatuna Liberal Muslims islam ni moja tu, mitizamo ndo tofauti..........
Mirza ghulam Qadiani alidhibitisha mwenyewe kwamba yeye anatumikia Malikia wa ungereza na amewekwa na Queen wa ungereza, ntaleta quotation zake hapa.

Ndo maana tunasema Ahmadiyya/Qadiani sio wenzetu lakini wanataka kutumia uislamu wetu sie Waislamu tuna msimamo katika dini yetu.
 
DINI YA WAQADIANI ELIAZISHWA NA WAGEREZA KIPIDI CHA UKOLONI WA INDIA. KUWASAIDIA KU GAWANYA WAISLAMU KUPINGA UKOLONI WA UIGEREZA KWA KUTUMIA JIHAD.

The "Ahmadiyya Movement " (called by Muslims everywhere as "Qadianis / Marzayi") was established, in 1889, by Mirza Ghulam Qadiani (1839 - 1908) in a small Punjabi village of India.

Mirza Ghulam Qadiani’s familyu were in the service of the British colonial powers and, to his dying days, Mirza Ghulam Ahmad openly declared his allegiance to the British imperialism. In fact, the culmination of his service to foreign power was his declaration that resistance to oppressors (Jihad) - as ordained in the Holy Quran by God had become unIslamic.

Fortunately, the Almighty Allah (SWT), time and time again, exposed Mirza Ghulam Qadiani's falsehood through his own statements and so-called prophecies. Even many of his own family members were aware of his treachery and openly opposed his anti-Islamic teachings. His first son rejected him and died a muslim without accepting his falsehood,

Mirza Ghulam Qadiani finally died by intervention of the Almighty Allah and as the result of religious prayer challenges (Mubahala), in 1908, he died of cholera in Lahouri India in May 1908.
 
Mashoga wapo nchi zote na wataendelea kuwepo kama walivyo watenda dhambi nyinginezo.
We naona dhambi unayoichukia ni ushoga tu maana unautaja sana sana.
Mnavyo chinja watu kwa maagizo ya Allah hamuoni kuwa hiyo pia ni dhambi.
Kama mnavyo muwinda kumchinja Salman Rushdie hilo kwenu ni jambo la kawaida tu.

Ila dhambi kwenu ni ushoga na kula nyama ya nguruwe basi.
 
Kwani Ushia, Usuni na Uismailia aliuanzisha Muhammadi ?
Kama sio, kwanini Ahamadiya wanaonekana hawana haki ya kuwa na dhehebu lao.
Unaweza kunitajia ni dhehebu gani lina haki ya kuumiliki Uislamu ?

Dondosha na andiko kuthibitisha hoja yako.
 
Hayo ni madhaifu ya waislamu kama watu, sio mafundisho ya uislamu, kama ya kwenu pia MaQadiani mnavo fuata kiongozi Shoga Masroor uko UK baada ya kutoroka jela makwao Pakistan kwa kosa kama hilo hilo,
 
Nitajie ni dini gani madundisho yake yanaruhusu ushoga ?
Weka na andiko tujifunze
 
DINI YA WAQADIANI ELIAZISHWA NA WAGEREZA KIPIDI CHA UKOLONI WA INDIA. KUWASAIDIA KU GAWANYA WAISLAMU KUPINGA UKOLONI WA UIGEREZA KWA KUTUMIA JIHAD.

The "Ahmadiyya Movement " (called by Muslims everywhere as "Qadianis / Marzayi") was established, in 1889, by Mirza Ghulam Qadiani (1839 - 1908) in a small Punjabi village of India.

Mirza Ghulam Qadiani’s familyu were in the service of the British colonial powers and, to his dying days, Mirza Ghulam Ahmad openly declared his allegiance to the British imperialism. In fact, the culmination of his service to foreign power was his declaration that resistance to oppressors (Jihad) - as ordained in the Holy Quran by God had become unIslamic.

Fortunately, the Almighty Allah (SWT), time and time again, exposed Mirza Ghulam Qadiani's falsehood through his own statements and so-called prophecies. Even many of his own family members were aware of his treachery and openly opposed his anti-Islamic teachings. His first son rejected him and died a muslim without accepting his falsehood,

Mirza Ghulam Qadiani finally died by intervention of the Almighty Allah and as the result of religious prayer challenges (Mubahala), in 1908, he died of cholera in Lahouri India in May 1908.
Qurani inawaeleza wazi kabisa kuwa.
Marafiki wa karibu wa Waislamu ni Wakristo.
Andiko lipo
Hivyo hii hoja yako inathibisha kuwa Ahamadiya ndio Waislamu wa kweli, hawana chuki mioyoni mwao
Hao wanaojiita Shia, Suni, Ismailia, Al-Qaeda ni wanafki tu.
Ndio maana kila kukicha mnatawatangazia Fatwa na kulipua mabomu dhidi ya wasio na hatia.

Ulishawahi kusikia Ahamadiya wanamtangazia fatwa binadamu yeyote ?
 
Hapo na kuuga mkono kwa 100% kwa kweli wa Qadiani ni marafiki sana na wa kristu wana jipendekeza sana na nchi za mashoga kuliko waislamu wame jiuga katika jeshi la israel kuua wa Palestine, nchi zote za waislamu zime wafukuza ila za kikuristu na yahudi zime wa karibisha tena kwa ukarimu na ushirikiano, wa Qadiani wako tayari kwa lolote kuendeleza uhusiano wao na mashoga au wa yahudi wanajiita 'Liberal Muslim', katika Uislamu hatuna Liberal Muslims islam ni moja tu, mitizamo ndo tofauti..........
Mirza ghulam Qadiani alidhibitisha mwenyewe kwamba yeye anatumikia Malikia wa ungereza na amewekwa na Queen wa ungereza, ntaleta quotation zake hapa.

Ndo maana tunasema Ahmadiyya/Qadiani sio wenzetu lakini wanataka kutumia uislamu wetu sie Waislamu tuna msimamo katika dini yetu.
Ahamadiya ndio Waislamu wa kweli na Allah na mtume wake Muhammadi wamekiri hivyo kwamba

" Marafiki wa Waislamu ni Wakristo"

Wewe ni nani hadi umbishie Allah na Mtume wake ?

Hakuna Ahamadiya Gaidi, kwakuwa wanafuata mafundisho ya Allah na Mtume wake.

Nyie endeleeni kuchinja watu eti kisa wamechora kikatuni cha Mtume Muhammadi.
Hata hamjuilizi nani alimpiga picha Muhammadi hadi mkitambue kikatuni chake ?

Ni chuki tu mliyonayo, hizo ni sababu tu ya kutimiza chuki zenu kwa wasio na hatia.

Kama Allah au Mtume wake aliwa agiza muwachinje wanao wakashifu hebu tuwekee hapa hilo andiko tujifunze.

Kuishi na nyinyi kunahitaji tahadhari kubwa sana, unaweza tu kuikanyaga Qurani kwa bahati mbaya Fatwa inatangazwa na unachinjwa kama Mbuzi tu

Ahamadiya hawana huo upumbavu.
Ni watu waliojaa hekima tele za Allah na Mtume wake Muhammadi.
 
Kwani Ushia, Usuni na Uismailia aliuanzisha Muhammadi ?
Kama sio, kwanini Ahamadiya wanaonekana hawana haki ya kuwa na dhehebu lao.
Unaweza kunitajia ni dhehebu gani lina haki ya kuumiliki Uislamu ?

Dondosha na andiko kuthibitisha hoja yako.
Uislamu ni umoja tu hatuna vikundi wote tunaamini Muhammad (saw) kama mtume wa mwisho wote tunafuata sunna tunaitwa ahlal sunnal wal jamaal ndo Uislamu. Ahmadiyya/Qadian, wamechepuka katika uislamu kwa kuuamini Mirza ghulamu khazab kama Nabbi.

MANENO YA IMAMU MALIKI.

A man asked Imam Malik, ❝Who are Ahl al-Sunnah...?❞ Imam Malik replied, ❝The ones who have no title they are known by; not Jahmī, not Rāfiḍī, and not Qadarī.❞ [Tartīb al-Madārik]

The only title you have to be sure you're upholding is Islam. The only title you will be asked about in the grave is Islam! Every other title: Salafi, Sufi, Ashari, Maturidi, Athari, Mutazili, Deobandi, Barelvi or Ahl-e-Hadith all have useless baggage that comes with them. Don't attribute yourself to anything but Islam.

Huo ndo msimamo wetu kama waisilamu. hatuwezi kukubali maQadiani kugawanya uislamu kwa kulete Nabbi wao mpya......na uislamu hautaki vikundi kama Maqadiani wanavyo ubiri.
 
Ahamadiya ndio Waislamu wa kweli na Allah na mtume wake Muhammadi wamekiri hivyo kwamba

" Marafiki wa Waislamu ni Wakristo"

Wewe ni nani hadi umbishie Allah na Mtume wake ?

Hakuna Ahamadiya Gaidi, kwakuwa wanafuata mafundisho ya Allah na Mtume wake.

Nyie endeleeni kuchinja watu eti kisa wamechora kikatuni cha Mtume Muhammadi.
Hata hamjuilizi nani alimpiga picha Muhammadi hadi mkitambue kikatuni chake ?

Ni chuki tu mliyonayo, hizo ni sababu tu ya kutimiza chuki zenu kwa wasio na hatia.

Ahamadiya hawana huo upumbavu.
Ni watu waliojaa hekima tele za Allah na Mtume wake Muhammadi.
Wa Qadiani sio Waislamu, dini yao ni tofauti na Uislamu, lbda kama wewe sio muamini wa Mirza!!!!!
haya ndo maneno ya Mirza: mwenyewe ya kanushe sasa......

The promised messiah (Mirza) said: "our Islam and their islam are different their hajji and our hajji are different their God and our God are different similarly we differ from them in every matter"
Al Fazl 21st August 1917"p8 col 1

Mirza mwenyewe anasema Dini yake ni tofauti na Uislamu wetu wewe unang'ngania Uislamu kwanini? mna agenda gani na Dini yetu....
 
Sisi tunaangalia matendo yenu ndani ya jamii na sio kutimiza nguzo za Uislamu pekee.

Tuna angalia mkisha maliza kuswali nini kinaendelea dhidi ya jamii yenu na nyingine.

Ukiacha Ahamadiya
Ninyi wengine mnapaswa muishi peke yenu katika nchi yenu yenye waislamu pekee.

Muwe munakesha kuswali, kuhiji, kukatana mikono, kuchinjana, kapigana mawe hadi kufa kama Sharia zenu zinavyo waongoza ambazo zinaondoa kabisa busara za kibinadamu.

Mnapo ingia kwenye nchi za jamii nyingine lazima pia muheshimu tamaduni na mila zao.

Unamkaribisha Mwislamu ktk nchi yako unamsaidia kila kitu lakini moyoni anakuona kafiri usiye faa kisa tu hujawahi kumsikia Muhammadi anavyo fundisha maneno yake.

Mkiongezeka mnaanza kuwalipua mabomu walio wakaribisha kisa tu mtu kasema Muhamadi alikuwa tapeli. Kwanza ni kweli alikuwa tapeli ?

Mnataka kila mnaye mkalibia awasikilize na kufuata mnacho amini.

Ahamadiya wamesha vuko katika huo ujima.
Ndio maana wanaheshimika duniani kote.
Ahamadiya hawana chuki na mtu yeyoye na wanaheshimu wenyeji wao.
Hata kama watawakuta Mashoga mnao wachukia sana kupita magaidi, wanaacha sheria za ndani ya hiyo nchi husika ifanye kazi yake.
Nyie mnataka mumhukumu kila mtu kwa Sharia zenu.

Kushika Nguzo za Kiislamu hilo ni jukumu lenu.
Sisi tusio waislamu hatuhitaji bugdha zenu kabisa.

Hatujawahi kumsikia huyo Allah
wala huyo Muhammadi.

Ahamadiya wanalitambua hilo ndio maana wanakaribishwa kwa moyo mweupe duniani kote.

Ni nani anataka kukaribisha Magaidi waliojaa chuki dhidi ya Wasio waislamu katika nchi yake ambayo wana amani miaka yote, wanao kuja kama wanyonge huku wameficha majambia ya kuwachinjia viunoni mwao kisa eti hawa mtii Mtume Muhammadi.

Who is he by the way, the dead man.
Ahamadiya hawana huo upumbavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom