Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Imesomeka mkuu.

Vipi huyu mtume anapokea vipi wahyi ilhali haji na kitu kipya katika uislamu ?

Wahyi anaoupokea hasa ni Wahyi wa kusoma na kufundisha Qur'an tukufu. (7:35)

Maana yake ni hii; wakati ambapo Umma wa kiislamu utakapogawanyika katika makundi 73 na yote yatakuwa ya motoni isipokuwa kundi moja, hapo utaona kwamba makundi 72 yote yatakuwa yamepotea hii ni sawa na 98.63% na 1.36% ndio watu wa kundi litakalokuwa limeongoka, kupotea kwa umma wa Kiislamu ni kutokana na kuacha mafundisho sahihi ya Uisilamu.

Kundi hilo lenye 1.36% ni lipi??, Angalia; Madhehebu yote ya Waisilamu mfano Sunni, Ismailia , Shia, Shia athnashara, Bohora, Barelwi, Nakshband, Ibadhi, Answar sunna nk (yapo makundi 72 kwa majina), yote hayo wakiwa wao kwa wao ni maadui na wanakufurishana lakini mbele yao akitokea Muisilamu wa Ahmadiyya WOTE wanaungana na kuwa kitu kimoja dhidi ya Ahmadiyya, yaani makundi 72 yanaungana dhidi ya kundi moja, sasa hiyo ni wazi kabisa Ahnadiyya ndio lile kundi moja;
alilosema Mtukufu Mtume (saw)

ستفترق أمتي على ثلاث و سبيعين فرقة كلهم في النار الا واحدة

الا واحدة isipokuwa moja.

Mafundisho ya Uisilamu safi aliokuja nao mtukufu Mtume Muhammad (saw) yanapatikana katika Jumuiyya ya Ahmadiyya.
 
Acha kutetea kitu ambacho hukujui photoshop iko wapi hata huna elimu ya ICT photo shop inafanana hivo?...........nyie mnapotoshwa hamjui malengo ya hiyo dini ya ma Qadiani wewe unajua kwanini Masroor huyu kiongozi wa Qadiani alikimbia makwao pakistan na kukimbilia Uingereza? utatoka je kwenye nchi ya uislamu ukimbilia nchi ya ki kuristu wakati, kwa visingizio vya kitoto..........

Wewe ni MPUMBAVU MKUBWA, HUJUI KABISA UISLAMU, UJINGA WAKO WA COPYCATTING kika kitu kutoka kwa wapinzani wa Ahmadiyya UTAKUINGIZA KATIKA ADHABU YA ALLAH muda si mrefu. Ninakuonya wala sio mzaha, Wako matajiri na waliokuwa na mamlaka makubwa waliojaribu kupambana, kukashifu hii Jumuiya na Wamefutika na kusagika tikitiki, adhabu ya Allah imewakumba, soma Mawaziri wakuu wa Pakistan, Zulfikar Ali Bhuto na Zia ul haq na wengine wengi, angalia yule Shk aliyekuwa akitangaza katika YouTube Mubahala na Ahmadiyya kilichomkuta ON THE SPOT.--- wewe bado ni kinda sana katika elimu ya dini unajifanya mjuaji kwa kuwa Wakala wa hao majahili wako, huo ni uzwazwa, kwanza nenda chuo/madrasa au mtafute mwalimu akufundishe ا ب ت ث ح خ--- ukishajua kusoma ndipo ujifunze Qur'an , Hadithi ,nk halafu uje hapa ulingoni.

Kwa taarifa yako, Katika zama za Mtukufu mtume Muhammad (saw) wale masahaba zake waliokimbia mateso kutoka kwa Makafiri (wapinzani) wa Makka ni mtume Mtukufu mwenyewe ndiye aliye waamuru wakimbilie Abysinia (Ethiopia ya leo) kipindi kile mtawala wa huko aliyeitwa Najash (Negus) alikuwa ni mkristo lakini alikuwa ni Mtu mwema na muadilifu na hata wale makafiri walipomtuma.mjumbe wao kwenda kwa Najash kumhonga na kumshawishi awafukuze wale masahaba alikataa baada ya kusikiliza utetezi wao, hivyo wema ni wema tu hata kama utatekelezwa na asiyekuwa Muisilamu, sasa ni ujinga kuhoji kwanini Kiongozi wa Ahmadiyya yupo Uingereza kwa WAKRISTO kabla hujahoji kwanini Mtume aliwaamuru wale mashaba kwenda kupata HIFADHI katika nchi ya Kiongozi mkristo!!.
 
Wahyi anaoupokea hasa ni Wahyi wa kusoma na kufundisha Qur'an tukufu. (7:35)

Maana yake ni hii; wakati ambapo Umma wa kiislamu utakapogawanyika katika makundi 73 na yote yatakuwa ya motoni isipokuwa kundi moja, hapo utaona kwamba makundi 72 yote yatakuwa yamepotea hii ni sawa na 98.63% na 1.36% ndio watu wa kundi litakalokuwa limeongoka, kupotea kwa umma wa Kiislamu ni kutokana na kuacha mafundisho sahihi ya Uisilamu.

Kundi hilo lenye 1.36% ni lipi??, Angalia; Madhehebu yote ya Waisilamu mfano Sunni, Ismailia , Shia, Shia athnashara, Bohora, Barelwi, Nakshband, Ibadhi, Answar sunna nk (yapo makundi 72 kwa majina), yote hayo wakiwa wao kwa wao ni maadui na wanakufurishana lakini mbele yao akitokea Muisilamu wa Ahmadiyya WOTE wanaungana na kuwa kitu kimoja dhidi ya Ahmadiyya, yaani makundi 72 yanaungana dhidi ya kundi moja, sasa hiyo ni wazi kabisa Ahnadiyya ndio lile kundi moja;
alilosema Mtukufu Mtume (saw)

ستفترق أمتي على ثلاث و سبيعين فرقة كلهم في النار الا واحدة

الا واحدة isipokuwa moja.

Mafundisho ya Uisilamu safi aliokuja nao mtukufu Mtume Muhammad (saw) yanapatikana katika Jumuiyya ya Ahmadiyya.
Acha kukalilishwa mashahili we Qadiani kwanza na ku-challenge uyilete hiyo hadeeth inayo sema kugawanyika makundi 73, kwa kiarabu paka mwisho tuone wapi Mutume alisema kwamba Mirza ndo atakuja anzishe kikundi cha Ahmadiyya ndo kiwe sahihi.........ilete hapa ni kufundishe dini kiislamu kwabb najua wewe sio muislamu hao waHindi wanawadaganya kwa kuwapa soda na cake.
 
Wewe ni MPUMBAVU MKUBWA, HUJUI KABISA UISLAMU, UJINGA WAKO WA COPYCATTING kika kitu kutoka kwa wapinzani wa Ahmadiyya UTAKUINGIZA KATIKA ADHABU YA ALLAH muda si mrefu. Ninakuonya wala sio mzaha, Wako matajiri na waliokuwa na mamlaka makubwa waliojaribu kupambana, kukashifu hii Jumuiya na Wamefutika na kusagika tikitiki, adhabu ya Allah imewakumba, soma Mawaziri wakuu wa Pakistan, Zulfikar Ali Bhuto na Zia ul haq na wengine wengi, angalia yule Shk aliyekuwa akitangaza katika YouTube Mubahala na Ahmadiyya kilichomkuta ON THE SPOT.--- wewe bado ni kinda sana katika elimu ya dini unajifanya mjuaji kwa kuwa Wakala wa hao majahili wako, huo ni uzwazwa, kwenda nenda chuo au mtafute mwalimu akufundishe ا ب ت ث ح خ--- ukishajua kusoma ndipo ujifunze Qur'an , Hadithi ,nk halafu uje hapa ulingoni.

Kwa taarifa yako, Katika zama za Mtukufu mtume Muhammad (saw) wale masahaba zake waliokimbia mateso kutoka kwa Makafiri (wapinzani) wa Makka ni mtume Mtukufu mwenyewe ndiye aliye waamuru wakimbilie Abysinia (Ethiopia ya leo) kipindi kile mtawala wa huko aliyeitwa Najash (Negus) alikuwa ni mkristo lakini alikuwa ni Mtu mwema na muadilifu na hata wale makafiri walipomtuma.mjumbe wao kwenda kwa Najash kumhonga na kumshawishi awafukuze wale masahaba alikataa baada ya kusikiliza utetezi wao, hivyo wema ni wema tu hata kama utatekelezwa na asiyekuwa Muisilamu, sasa ni ujinga kuhoji kwanini Kiongozi wa Ahmadiyya yupo Uingereza kwa WAKRISTO kabla hujahoji kwanini Mtume aliwaamuru wale mashaba kwenda kupata HIFADHI katika nchi ya Kiongozi mkristo!!.
Hayo maelezo yako ni marefu sana ni ishara ya kuonyesha nyie waongo hamna lolote, mnafuata kiongozi shoga alikimbia nchini kwao Pakistan kwa makosa kama hoyo......
 
Acha kukalilishwa mashahili we Qadiani kwanza na ku-challenge uyilete hiyo hadeeth inayo sema kugawanyika makundi 73, kwa kiarabu paka mwisho tuone wapi Mutume alisema kwamba Mirza ndo atakuja anzishe kikundi cha Ahmadiyya ndo kiwe sahihi.........ilete hapa ni kufundishe dini kiislamu kwabb najua wewe sio muislamu hao waHindi wanawadaganya kwa kuwapa soda na cake.

Haya wewe iandike hapa.kwa Kiarabu hiyo hadithi Yote??---- kiarabu chenyewe kwanza hujui hata alif, ba, ta, tha hujui, halafu unajifanya unajua dini!!--- pathetic!!
 
Wewe ni MPUMBAVU MKUBWA, HUJUI KABISA UISLAMU, UJINGA WAKO WA COPYCATTING kika kitu kutoka kwa wapinzani wa Ahmadiyya UTAKUINGIZA KATIKA ADHABU YA ALLAH muda si mrefu. Ninakuonya wala sio mzaha, Wako matajiri na waliokuwa na mamlaka makubwa waliojaribu kupambana, kukashifu hii Jumuiya na Wamefutika na kusagika tikitiki, adhabu ya Allah imewakumba, soma Mawaziri wakuu wa Pakistan, Zulfikar Ali Bhuto na Zia ul haq na wengine wengi, angalia yule Shk aliyekuwa akitangaza katika YouTube Mubahala na Ahmadiyya kilichomkuta ON THE SPOT.--- wewe bado ni kinda sana katika elimu ya dini unajifanya mjuaji kwa kuwa Wakala wa hao majahili wako, huo ni uzwazwa, kwanza nenda chuo/madrasa au mtafute mwalimu akufundishe ا ب ت ث ح خ--- ukishajua kusoma ndipo ujifunze Qur'an , Hadithi ,nk halafu uje hapa ulingoni.

Kwa taarifa yako, Katika zama za Mtukufu mtume Muhammad (saw) wale masahaba zake waliokimbia mateso kutoka kwa Makafiri (wapinzani) wa Makka ni mtume Mtukufu mwenyewe ndiye aliye waamuru wakimbilie Abysinia (Ethiopia ya leo) kipindi kile mtawala wa huko aliyeitwa Najash (Negus) alikuwa ni mkristo lakini alikuwa ni Mtu mwema na muadilifu na hata wale makafiri walipomtuma.mjumbe wao kwenda kwa Najash kumhonga na kumshawishi awafukuze wale masahaba alikataa baada ya kusikiliza utetezi wao, hivyo wema ni wema tu hata kama utatekelezwa na asiyekuwa Muisilamu, sasa ni ujinga kuhoji kwanini Kiongozi wa Ahmadiyya yupo Uingereza kwa WAKRISTO kabla hujahoji kwanini Mtume aliwaamuru wale mashaba kwenda kupata HIFADHI katika nchi ya Kiongozi mkristo!!.
Huyu kiongozi wenu alikibia kesi kule Pakistan ya kumnajisi mtoto, mnamo mwaka 1993, inakua je mtu kama huyu awe kiongozi wa Dini ya kiislamu? au na hiyo chini ni photshop? hapo ndo wakati anatoka gerezeni mwaka 1993 Kabla ya kukimbilia Uingereza kwa ma shoga wenzie .....Eti sasa hivi ni khalifa!!!! nyie wapumbavu wa kubwa khalifa gani mwenye historia ya kunajisi watoto wadogo acheni Mzaha na Uislamu, Qadian/Ahmadiyya acha kupotosha Ummah ya Uislamu tangazeni Dini yenu bila kujihusisha na Uislamu kama wenzenu Bahai wanavo fanya.
IMG-20210922-WA0014.jpg
 
Huyu kiongozi wenu alikibia kesi kule Pakistan ya kumnajisi mtoto, mnamo mwaka 1993, inakua je mtu kama huyu awe kiongozi wa Dini ya kiislamu? au na hiyo chini ni photshop? hapo ndo wakati anatoka gerezeni mwaka 1993 Kabla ya kukimbilia Uingereza kwa wa shoga wenzie .....Eti sasa hivi ni khalifa!!!! nyie wapumbavu wa kubwa khalifa gani mwenye historia ya kunajisi watoto wadogo acheni Mzaha na Uislamu, Qadian/Ahmadiyya acha kupotosha Ummah ya Uislamu tangazeni Dini yenu bila kujihusisha na Uislamu kama wenzenu Bahai wanavo fanya.View attachment 1981137

Nilitaka kukaa kimya lakini inanibidi nikujibu kwa upeo wa akili yako kwani nisipokujibu huenda uongo na upotoshaji huo ukaaminika kuwa ni ukweli:-

1---- Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe---- Jumuiya ya Ahmadiyya inayo matunda na wapinzani wake wanajaribu kuipakazia kila aina ya uchafu ili kufifisha matunda yake, hizo ni njama za wapinzani dhidi ya kiongozi wetu mkuu ili serikali ya uingereza imuone ni mwenye hatia na imrudishe Pakistani kujibu hizo shutuma za aibu na Uongo, sio yeye tu bali hata aliyekuwa Khalifa wa kabla yake (predecessor) naye alizushiwa shutuma za mauaji huko pakidtani ili akifikishwa mahakamani ahukumiwe kunyongwa, lakini kwa msaada wa Allah alihamia Uingereza na akaepuka mbinu chafu za hao majahili.

2--- Jitahidi kutumia akili yako kuutafuta ukweli juu ya Ahmadiyya, tumia akili yako ndugu, copycatting kutoka kwa maadui ni nyingi sana na ukizikumbatia bila kutafakari kwa akili akizokujalia Allah utapotea vibaya sana na hatimaye kupata adhabu kwa kuwa WAKALA wa hao majahili.
 
Sasa hapo umejibu nini kama huna ushahidi wa kukanusha kaa kimya, wewe ulisha naswa na mtego wa MaQadiani, wale ni wajanja kuficha true clours, Qadiani sio waislamu na kwaapia wana hidden agenda nyie ma lupeni hamjui chochote mnaburuzwa tu mkipewa cake na soda na hao wa Hindi ndo mnaanza kitetea msicho kijua.
 
Kwani uzushi kashfa, kejeli, matusi, shutuma, dhidi ya Ahmadiyya zimeanza leo??!!

Zimeanza tangu Jumuiya hii ilipoanzishwa 1889.

Hadhrat Ahmad (as) mwenyewe alikuwa na kiloba kilichojaa barua za matusi tupu kutoka kila pembe ya India na kwingineko na hata kuna baadhi ya barua zilikuwa hazikuwa na stamp naye ilimbidi aingie gharama kuzilipia na ndanimo hakukuta chochote isipokuwa matusi tu, ninachotaka kusema ni kwamba wewe umejipambanua kuwa mmoja wa MAWAKALA wa upiinzani wa Ahmadiyya katika za leo lakini kumbuka mababu zako wa huko India na Pakistani bali dunia nzima walishindwa na Ahmadiyya leo ni "THE FASTEST GROWING RELIGIOUS SECT IN THE WORLD"

The stronger resistance the more converts.

Takataka zenu kwetu ni mbolea kwetu.
 
Huyu kiongozi wenu alikibia kesi kule Pakistan ya kumnajisi mtoto, mnamo mwaka 1993, inakua je mtu kama huyu awe kiongozi wa Dini ya kiislamu? au na hiyo chini ni photshop? hapo ndo wakati anatoka gerezeni mwaka 1993 Kabla ya kukimbilia Uingereza kwa ma shoga wenzie .....Eti sasa hivi ni khalifa!!!! nyie wapumbavu wa kubwa khalifa gani mwenye historia ya kunajisi watoto wadogo acheni Mzaha na Uislamu, Qadian/Ahmadiyya acha kupotosha Ummah ya Uislamu tangazeni Dini yenu bila kujihusisha na Uislamu kama wenzenu Bahai wanavo fanya.View attachment 1981137

Mkuu mimi naona tusitumie hoja kama hizi kupinga dhehebu fulani ama dini fulani,bali tutumie hoja za mafundisho ya dhehebu hizo.

Kama ambavyo kuna mashekhe wa madrasa hasa hapo zanzibar tena masheikhe wa madhehebu ya kisuni tu na sio kadiani wamekutwa na skendo za kulawiti watoto,sasa hatuwezi kuutwaani usuni kwa matendo ya liwati wayafanyayo wafuasi wa usuni.

Kule lamu kenya kuna mashekh wazito walikuwa na skendo za kulawiti wanafunzi wao,tena mashekhe wenye elimu kubwa sana tu na sio makadiani,kwa skendo zao na matendo yao hatuwezI kuutuhumu usuni mkuu.

Tunachokifanya kwa uadilifu ni kuangia huo usuni unafundisha nini na sio kuangalia masuni wanafanyaje kwa sababu wao ni binadamu pia wanaweza kufanya mambo yaliyoko kinyume na muongozo wa madhehebu yao.

Sina haja ya kujua kama huyo jamaa kafnya kweli au laa,ila hata iwe kafanya kweli basi hiyo sio mizani ya sawasawa ya kuukosoa huo ukadiani(ahmadiyyah)bali tuangalie kama hayo madhehebu ya ahmadiyyah yanaruhusu ?

Kuna muibadhi mmoja alikuwa anasema ukitaka kumjua muibadhi msome muibadhi mwenyewe anasemaje,ukitaka kumjua wahabi msome wahabi mwenyewe anasemaje na sio unataka kumjua muwahabi ama ibadhi kwa kupitia maadui zake hapo hutomjua katu.

Muhimu tuangie utaratibu wa watu kama unaruhusu yale wanayoyafanya.

Kadiani akifanya uovu uovu huo usihusishwe na ukadiani mpaka itakapothibitika kwamba uo uovu umeruhusiwa kufanyika katika itikadi za kadiani

Kadhalika Shia akifanya uovu usinasibishwe na ushia mpaka ithibitike kwamba ushia umeruhusu uovu huo,huo ndio usawa mkuu.
 
Sasa hapo umejibu nini kama huna ushahidi wa kukanusha kaa kimya, wewe ulisha naswa na mtego wa MaQadiani, wale ni wajanja kuficha true clours, Qadiani sio waislamu na kwaapia wana hidden agenda nyie ma lupeni hamjui chochote mnaburuzwa tu mkipewa cake na soda na hao wa Hindi ndo mnaanza kitetea msicho kijua.
Mkuu hizo ajenda ni zipi....
 
M
Mara kadhaa umekuwa unaandika Maqadian/Waahmadiyya na unamtaja Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) Mwanzilishi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya mzaliwa wa Mji wa Qadian katika mwaka 1935----1908 huko Punjab India, sasa kama ndiye huyo, yeye hajaanzisha kitu kinachoitwa Qadian, yeye kaanzisha jumuiya ya waislamu ya Ahmadiyya, sisi waislamu tunaomfuata tunaitwa Waahmadiyya, kama unao ushahidi kwamba huyo Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) kutoka Qadian alianzisha kitu kinachoitwa Uqadian lete ushahidi hapa, la sivyo ni muendelezo wa tabia ya uchafu wa vinywa vyenu, kumbuka Allah anesema ndani ya Qur'an kwamba: Wala msiitane kwa "nicknames" nicknames baada ya imani ni vibaya" (Qur'an ).
Mkuu hao Sunni Na Shi wala hawaujui uislay Ni makafiri tu
 
Bahai wako vizuri kwasabb wenyewe wanatambua kwamba sio waislamu wala wa kuristu na hawatumii usilamu kupotosha watu, kama Wa Qadiani/ Ahmadiyya wanavo fanya kujiita waislamu wakati Imani yao ni tofauti na Waislamu Qadiani wanaamini yafuatayo:

1.Mirza Ghulam Qadian ni sawa sawa naYesu Christo (Essa Messiah)

2. Muhammad (saw) sio mtume wa mwisho bado watume wengi wanakuja katika Dini ya kiislamu

3.Mirza Ghulam Qadiani ndio
Mahdi na Messiah aliekufa mwaka 1908 katika mji wa Lahouri Indian.

4.Ahmadiyya wanaamini Essa (as) Jesusu christ ali ishi miaka 120 na alikufa na kuzikwa Kashimir india na kaburi lake wanajua mahari lilipo.

5.wa Ahmadiyy/Qadianis hawaendi kufanya hijja/ au kujipa kipao mbele kinyume chake wanaeeda Uigereza kwenye Jalsa salana kila mwaka kukutana na kiongozi wao mjukuu wa Mirza Masroor.

6.wa Qadiani hawaamini kwamba Adamu ni binaadamu wa kwanza kama wa Islamu wanavo aamini. nk nk.

7. Qadiani/Ahmadiyya wanahamasisha wafuasi wao kutolipa zakat nguzo ya ya 3 katika dini ya uislamu na mbadala wake wana hamasishwa walipe Chanda mchango wakila mwezi na wslazima kwa kila mwana jumuia wao, ila kusaidia viongozi wao wenye asiri ya ki Hindi na Pakistani kuishi vuzuri Mijini na kulipwa mishahara minono, yaani hu nikama Wizi kuibia wanyonge na msikini

Hizo imani zao zinawafanya kua tofauti na Waislamu wa kawaida pamoja na Uislamu, Qadiani/Ahmadiyya sio Waislamu kabusa ila wanajifucha kwenye uislamu kupotosha waislamu, njooni mkanushe haya hapa kama nyie ni wakweli.

[mention]mimahsuley20 [/mention] Karibu upate ilimu.
 
Hayo maelezo yako ni marefu sana ni ishara ya kuonyesha nyie waongo hamna lolote, mnafuata kiongozi shoga alikimbia nchini kwao Pakistan kwa makosa kama hoyo......
Maelezo yake yana hoja mkuu usiyapuuze,unatakiwa uyajibu kama kwi upo kimjadala wenye faida na sio upinzani.

Kutuhumu na kukejiana sio lengo
 
Kugawanya Uislamu na Waisilamu ndo agenda yao kuu kueneza tabia za kima garibi kama ushoga, kuikuza familia ya Mirza khazab.
Kuna kundi la salafi nalo linatuhumiwa kwamba limekuja kupoteza na kugawa waislamu.

Na yapo makundi mengi ambayo yanatuhumiwa kwamba yanataka kupoteza waislamu.

Je hizi tuhuma wanaIsema wemyewe watu wa hayo makundi au wapinzani wao ndio wanaosema hayo ?
 
Mkuu mimi naona tusitumie hoja kama hizi kupinga dhehebu fulani ama dini fulani,bali tutumie hoja za mafundisho ya dhehebu hizo.

Kama ambavyo kuna mashekhe wa madrasa hasa hapo zanzibar tena masheikhe wa madhehebu ya kisuni tu na sio kadiani wamekutwa na skendo za kulawiti watoto,sasa hatuwezi kuutwaani usuni kwa matendo ya liwati wayafanyayo wafuasi wa usuni.

Kule lamu kenya kuna mashekh wazito walikuwa na skendo za kulawiti wanafunzi wao,tena mashekhe wenye elimu kubwa sana tu na sio makadiani,kwa skendo zao na matendo yao hatuwezI kuutuhumu usuni mkuu.

Tunachokifanya kwa uadilifu ni kuangia huo usuni unafundisha nini na sio kuangalia masuni wanafanyaje kwa sababu wao ni binadamu pia wanaweza kufanya mambo yaliyoko kinyume na muongozo wa madhehebu yao.

Sina haja ya kujua kama huyo jamaa kafnya kweli au laa,ila hata iwe kafanya kweli basi hiyo sio mizani ya sawasawa ya kuukosoa huo ukadiani(ahmadiyyah)bali tuangalie kama hayo madhehebu ya ahmadiyyah yanaruhusu ?

Kuna muibadhi mmoja alikuwa anasema ukitaka kumjua muibadhi msome muibadhi mwenyewe anasemaje,ukitaka kumjua wahabi msome wahabi mwenyewe anasemaje na sio unataka kumjua muwahabi ama ibadhi kwa kupitia maadui zake hapo hutomjua katu.

Muhimu tuangie utaratibu wa watu kama unaruhusu yale wanayoyafanya.

Kadiani akifanya uovu uovu huo usihusishwe na ukadiani mpaka itakapothibitika kwamba uo uovu umeruhusiwa kufanyika katika itikadi za kadiani

Kadhalika Shia akifanya uovu usinasibishwe na ushia mpaka ithibitike kwamba ushia umeruhusu uovu huo,huo ndio usawa mkuu.
Kwani hao unao wataja walisha wahi kujitangaza kua ni ma khalifa wa Uislamu, kama huo Masroor wa Ma Qadian anae dhalilisha Dini ya Uislamu wakati sio muislamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom