In short term ,sgr ya Kenya itaunderperform lakini wakishaunga hadi Kampala ndo itaoperate kwenye full,ila sgr ya Tzn ni full tembo mweupe manake sioni itabeba nn ikizingatiwa tunchi lengwa hamna cha maana,,sgr ya Kenya ikifika kisumu itabeba mzigo wa Uganda na s sudani.
Ningekuwa namaamuzi basi ningejenga sgr kutoka Tanga hadi musoma,na kuachana na hii ya sasa ya dar mwz,Kigali