Mimi habari za Liver huwa zinanisikitisha sana hata siku hizi sitamani kabisa kuangalia website yao.Sijajua sana but nahisi kuna mtu katuloga si bure hata kidogo. Kusema ukweli tunacheza vizuri tukikutana na Man U, Chelsea, Man City na Arsenal but vitimu vidogo vidogo ndo shida yetu pale.Wiki hii tunamfunga Man U na wiki inayofuta tunafungwa na QPR sasa hapo kuna shida si tunadhani washindani wetu ni hizo timu kubwa wakati wenzetu timu hizo ndogo ndo za kuchukulia point na hizo nyingine ni droo au kushinda. Natamani sana Bantez arudi pale Anfield aturudishie imani maana kusema ukweli mimi mpaka sasa napata taabu ya kuvaa jezi ya Liver mtaani sasa yaani hata Carling cup tuliichukua kwa mbinde sana