Why Kagame Cannot Risk A Free Election

Rubuye ingawa hapa hatujali genealogy ila napata tabu kuamini kuwa una damu ya Tutsi halafu hujui historia ya Rwanda, Burundi, Congo na mateso waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata Tutsi. Hivi hujawahi kuongea na bibi yako kuhusu hili?
 
Hata kanali gadaffi alitawala weee lakini ulipofika wakati aliuawa akiwa kwenye mtaro. Na Kagame ni wakati tu bado
 
Hayo ni maombi ya adui zake, nadhani atakuwa sahihi nayeye akiwa na maombi kama hayo kwa adui zake:
Kama una hamu ya kumuua then akikutangulia unaenda wewe..hhahah
 
Wewe ndio ulianza na kujiita oohh bibi yangu mtutsi...don't fool people here sema tuu umekuja kumsaidia muhutu mwenzako jmali,unajifanya diplomat mnafiki mkubwa wewe
 
Rubuye ingawa hapa hatujali genealogy ila napata tabu kuamini kuwa una damu ya Tutsi halafu hujui historia ya Rwanda, Burundi, Congo na mateso waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata Tutsi. Hivi hujawahi kuongea na bibi yako kuhusu hili?

Bull-shit! better keep quiet.
 
Wewe ndio ulianza na kujiita oohh bibi yangu mtutsi...don't fool people here sema tuu umekuja kumsaidia muhutu mwenzako jmali,unajifanya diplomat mnafiki mkubwa wewe

Kama Nyerere alivyosema, damu ya ubaguzi itawatafuna siku zote. Tanzania must confiscate rwandan small teritory.
 
Kwanza nchi haiwi confiscated. Nenda kajifunze kiingereza kwanza halafu ndo urudi hapa. Pili, damu ya ubaguzi mnayo nyie na siku ikianza kuwatafuna ndo mtajua
 
Ok, Tanzania must absorb rwandan small territory....... Ahahahaha nashukuru muingereza kwa kunisahihisha. Lakini nyie si mlitawaliwa na wafaransa?? au?.... sa kiingereza umekijulia wapi? Hamtakaa mtulie kama kabila moja linajiona liko juu kuliko kabila jingine. Hata uongee vipi ndugu yangu. That is reality.
 
IQ yako iko chini kwelii kwahiyo mnaimani Tanzania itawasaidia, sidhani kama nyie ndio kipaumbele kwa sasa,
Tatizo sio kabila moja kujiona juu, tatizo ni some of you kujiona chini (inferiority complex)
 
Development at what price!! 6 million hutu n congolese killed in refugees camps including Women n children

Development at what pric? Instabilities of kivu?
Or with M23 rebels....
Time will tell.....
 
Hahaha mapanga shaaaa,shaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…