Why Kagame Cannot Risk A Free Election

Huyu jamaa(jMali) anaumwa bado hamjaona tu..manake hii sikawaida, kila siku niyeye repeating the same music:
How Tutsi are bad, and trying to convince that he shared his evil views with all Tanzanians:
 
Huyu jamaa(jMali) anaumwa bado hamjaona tu..manake hii sikawaida, kila siku niyeye repeating the same music:
How Tutsi are bad, and trying to convince that he shared his evil views with all Tanzanians:

I've come across people who don't like leaders, have seen Tanzanians who don't have good stuffs to say about Kagame, which is normal as a leader you can't be loved by everyone. But this jMali has some kind of an obsession on Kagame. There is just more to it than the usual love-hate citizens have with their leaders. I've seen him go overboard in hysteria whenever Kagame's name is mentioned.
 
Last edited by a moderator:
he is good dictator - I don't mind to be ruled by somebody like him - he deliver progress, prosperity and peace in his country.
 
jMali is an extremist Hutu FDLR genocidaire. His hatred for Kagame and anything Tutsi is crystal clear. Anahangaika bure kaka wa watu.
 
Huyu jamaa(jMali) anaumwa bado hamjaona tu..manake hii sikawaida, kila siku niyeye repeating the same music:
How Tutsi are bad, and trying to convince that he shared his evil views with all Tanzanians:

Watanzania hasa tunaoishi kagera tunakubaliana na #jMali
 

kwenu wap mkuu?
 


bibi yangu ni mtutsi...japo mimi ni mtanzania safi lakini hua niko interested kujua kinachoendelea na siasa za Rwanda na haswa wachangiaji wakubwa kama wewe n all the pro kagames nyie...ila kwa niliyo highlight hapo,napata mashaka kama chambuzi zako/zenu hua muafaka kweli au tu ni hisia na mihemko ya kibaguzi kama mnavyotuhumiwa!!nashauri msionyeshe sana mahaba as yanaweza fungua tukaona na ujinga wenu pia.jadilini hoja ili tunaowasoma kimyakimya tujifunze na kujuzwa...
 

Kwann usiseme Bibi yako ni mnyarwanda ukasema Bibi yako ni mtutsi?we unaona hiyo iko sawa au ndo unaanza kuweka element za kibaguzi hapo!
 
Kwann usiseme Bibi yako ni mnyarwanda ukasema Bibi yako ni mtutsi?we unaona hiyo iko sawa au ndo unaanza kuweka element za kibaguzi hapo!

moja...wa tutsi wako rwanda,burundi,congo,tanzania na kwingine kote..sio kila mtutsi ni mnyarwanda.
pili.....kutokana na mtiririko wa arguments za hawea jamaa...niliona ni busara kusema hivyo isijeonekana nimechagua upande mkuu.
natamani kujifunza ila kwa muenendo huu wa hawa jamaa hali itakua ngumu kidogo.wana wahka an munkari mno
 

Acha kupiga chenga za mwili mkuu,hzo habar za ww ni mtutsi/mhutu achana nazo mkuu kuna wa2 hum ndo mabingwa wa hzo league!
 

Suala la bibi yako kuwa Tutsi halina uzito. Suala si uTutsi au uHutu au uTwa wa mtu. Sio kila Tutsi ni pro Kagame or RPF. Hii ni misconception ya kibaguzi inayoenezwa na genocidaire. Mimi namuunga mkono Kagame kwa kazi nzuri anayoifanya kwa nchi yake kama kiongozi shupavu mwenye kuweka maslahi ya watu wake mbele. Kagame hana mzaha wala masihara. There is simplistic notion that things in Rwanda are black and white or should I say Hutu and Tutsi. La hasha, complexities za politics in Rwanda are like any in any other country in the world. Tofauti ni uimara wa uongozi wa Kagame. The gist being, bibi yako awe mtutsi no one really cares. Hapa hatuangalii genealogy ya mtu, tunaangalia uzalendo. Mimi ni mTanzania kama wewe. For all you know I could be Tutsi, Hutu, or whatever. It does not matter.
 

hehehe..........just nilichokua ninahofia!!hamuishi kuitana hutu na interahamwe kila kwenye michango yenu hata pale ambap o mngeweza kujadili hoja bila uhutu na ututsi!now,nimetekenya na ka utambulisho kidogo tu,unafiki wa sio ukabila unaibuka tena wakati kila thread iwe inayojibu au inayoanza lazima ''mtambulishane'' kwa u interahmwe au ututsi!maana yake mnapima upepo na kutumia vitu kwenye hoja za wenzenu kuwafaa nyinyi tu na mnatunyima sisi wenye hamu na nia ya kujifunza na kujua ukweli kufanya hivyosababu nyie ''mnaojua'' mko bize kubishana na mara nyingine kujipinga wenyewe hata kwa mlichokikubali previously ili tu kuonyeshana nani yuko sahihi na nani hayuko sahihi!

tusaidieni kuujua ukweli guyz,tuna hamu ya kujifunza na msikwepe hoja zenye ukweli...tulijiunga JF kwaajili hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…