NTAHOKAGIYE HUMA
Member
- Nov 3, 2013
- 23
- 4
devilish always.Mtusi mtusi tu
they'll vote him out of office not because he is tutsi, but because he is a criminal/dictator.
Why so much hatred against Tutsi? What did the Tutsi do to you people? Pres Kagame is a great leader who has transformed Rwanda in less than two decades. Sasa hivi wanyarwanda ni wamoja. Uchumi umekuwa kwa kasi sana. Nyanja nyeti kama elimu, afya na ulinzi na usalama vyote vimeimarika. Haya ni matunda ya uongozi madhubuti wa baba Kagame. Vile vile mkumbuke si kila m-Tutsi ni mfuasi au mshirika wa Kagame. Detractors come in every form. Wapo Hutu ambao ni pro Kagame kuliko any Tutsi I know. Na wapo Tutsi ambao hawampendi. Hata ndani ya uongozi wake kuna makundi yasiyompenda pamoja na inner circle yake. Kuanzia RPF, Serikali, RDF, DMI, NISS, Police, RCS etc wapo wasaliti. Watu walio karibu na Kagame si wengi, kwa maoni yangu hawazidi kumi. Hii ni kutokana na ukwel kuwa kama kiongozi, Kagame is a disciplinarian asiyeendekeza umbea na upambe. Kagame oyee!
Ha ha ha yeah right! You forget that he garnered more than 90% of the vote. And guess what? Most people who voted were Hutu. Rwanda is mainly Hutu. You FDLR genocidaire hate to see hutu embracing any Tutsi. Most Hutu live in Rwanda. If anything most Rwandese overseas in Canada, USA, Belgium, England and other parts are Tutsi. Hutu are reaping the fruits of Kagame non-divisionist rule. Maendeleo kwa wote.
1. why do you think we hate tutsis? Please elaborate this, kwa sababu all we see is a group of people (some not all), ambao mnadhani Africa nzima inawachukia, lakini mkiambiwa mseme why hamuwezi. Why would the entire SADC be said to hate tutsis? from South africa, zimbabwe, angola, Tanzania, DRC...we all can't be interahamwe can we?
2. Kagame via RPA ndie aliyebomoa uchumi wa Rwanda kwa miaka minne alipokuwa anavamia, just like CNDP, M23 and other countless tutsi-rebel groups vilivyobomoa uchumi wa Eastern DRC. Huwezi baadae tena ukasema eti kagame kafanya transformation wakati yeye ndie aliyesababisha kuzorota kwa uchumi in the first place. Hivi sultani makenga angekuwa rais wa DRC, ungemsifu kwa "transformation" ya eastern DRC?
Na ajabu ya kwao hawayafatilii
Well SADC sympathizes with elements of genocidaires. As for the rest of Africa, no one has ever given a *** to seeing Tutsi being persecuted and butchered dating back to the 1950's. Yet you wonder why Tutsi feel ostracized. Tutsi are like Jews, they have to be vigilant because the world has had the tendency to brook their suffering in time immemorial.
Si kweli kuwa Kagame na RPA ndio walibomoa uchumi wa Rwanda. Irresponsible Hutu leaders ruled that country since independence. That was an excuse by Habyarimana na his clique to incite extremism among Hutu because even they were divided back then. Unapoendesha siasa za chuki na visingizio, ni rahisi sana kutafuta scapegoat. Kagame has done quite to the contrary by reviving an otherwise bankrupt economy (after your FAR buddies looted all the reserves with the help of their French masters under the guise of operation Turqouise (sp) on their way to the DRC). Nenda Rwanda uone maendeleo ya kweli.
CNDP and M23 are just two of the more than 17 rebel groups. Matatizo ya DRC yalianza kabla hata Kagame hajazaliwa. Mnaposingizia all Congo's woes on Kagame you are not being serious for you cannot fool those of us who know. The DRC has always been a failed state. Chuki zenu hizi hamkuziona wakati Mobutu alipopeleka commandos kumsaidia Habyarimana kufanya counter attack. You lost the war and now the country is prospering. Na sasa deadline kwa jamaa zenu FDLR inaisha January. Vichwa vinawawasha manake mlikuwa wepesi sana kuwaondoa wapiganaji wa M23 but you are dragging your feet on FDLR and other DRC rebel groups that are not Tutsi. Aise, ubaguzi ni dhambi mbaya sana. Mlilianzisha, mkajiona wajanja kumbe werevu tulishawasoma. Kagame anawaangalia anacheka tu. You've done his bidding. Afterall, all he's ever wanted has been to be left alone. A safer eastern Congo, a safer Rwanda.
1. Exactly the point, more than 90% of votes. i should rest my case here. Have you even been to Rwanda? au umekaa tu hapo mbezi unabwabwaja? Hebu uliza mtu aliyekuwapo Rwanda akuhadithie jinsi wananchi walivyoamshwa na jeshi alfajiri kwenda kupiga kura, halafu ukishathibitisha hilo, njoo tena JF utetee upuuzi huo! yani jeshi liamshe wanakijiji kwa bunduki waende kupiga kura halafu wampigie kura mpinzani? nani haelewi kusoma katikati ya mistari wewe? hata hiyo 90% ni baada ya kuipunguza, kagame alishinda kwa 100%! kwa kweli kama hujui uchaguzi huwa unakuwaje Rwanda we sema tu, nitaanzisha thread yake peke yake.
2. Rwanda is mainly Hutu, tena over 80%, now tell me if you yourself agree to that, why then is the entire top military brass tutsi? why is the intelligence department majority tutsi, why is the police force led by tutsis, why are viongozi wote wa kisiasa ngazi zote kuanzia vijiji, mpaka mikoa ni watutsis? imekuwaje nchi yenye watu 8 kati ya 10 wahutu, lakini 8 kati ya 10 ya uongozi ni watutsi? tena watutsi hawa sio watutsi original, bali watutsi toka nje ya Rwanda kama wewe ambao hata kinyarwanda hawajui, imebidi kagame abadilishe lugha ya taifa toka kifaransa kuja kingereza ili kuwa-accomodate? Usianze blah blah zako niliwahi kukuwekea mpaka majina hapa one time, wewe jibu tu kiufupi hii inawezekanaje? Hivi inawezekana Tanzania leo tukawa na bunge majority wahindi, polisi wakuu wote wahindi, jeshi wakuu wote wahindi, mwenyekiti wa mitaa, mjumbe, diwani, katibu kata, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa wote wawe wahindi? halafu ukasema hakuna tatizo? halafu chukulia kuwa wahindi hawa walipindua nchi baada ya kuivamia kwa miaka minne, wakatungua ndege ya rais mwafrika......
3. unasema eti FDLR genocidaire hate to see Hutu embracing any tutsi. Then how come hawa watutsi wapinzani wa kagame wote wanashitakiwa kwa "collaborating with FDLR". Hivi FDLR ambao ni ex-FAR wanawezaje kushirikiana na Nyamwasa the butcher? Mbona una-jicontradict hapo? sijihangaishi kukuuliza ni wapi umepata hiyo notion kwamba FDLR inawachukia watutsi kwa sababu najua huna jibu lolote wala source, nothing! you are just parroting propaganda ulizofundishwa.
cha ajabu kwenu hata forum hamna mnakuja kwenye forum zetu.
He he he niko Mbezi sio, haya kaka. Anyway, punguza jazba. Najua interahamwe mkishikwa pabaya huwa mnapanic sana, kunywa maji. Umenifurahisha kuniuliza kama nimewahi kufika Rwanda, kwani unaonaje? Unafikiri tunaongelea vitu kwa ku-google au kupewa propaganda za watu waishio msituni na nyani (FDLR) kama wewe?
Anyway, narudia chaguzi zote zimekuwa free and fair tena mbele ya waangalizi wa ndani na nje ya nchi. Inakuuma kuona Kagame anakubalika na majority ya wananchi. Hakuna aliyeshurutishwa kupiga kura. Kura ni ya siri. Wangelazimishwa wangeharibu kura au kumpigia mtu mwingine. Hawakufanya hivyo bali walimpigia kiongozi wanayemuona anafaa. Hivi nikuulize; umewahi kwenda kwenye mkutano wowote anaohutubia Kagame? Ni maelfu na maelfu ya watu hufurika na kumshangilia na pia kumbana kwa maswali magumu rais wao. Utasema nao wamelazimishwa na jeshi. You are insulting ordinary Rwandans' intelligence for suggesting that they can be bulldozed into doing things against their will.
On Tutsi holding more posts, well kwanza hiyo 8 to 10 ratio ni uongo na fitna. The prime minister is Hutu, in fact all have been Hutu. The president after the genocide was Hutu. The cabinet is evenly split and so are most government senior posts. In fact most positions are "manned" by Hutu. Most enlisted men in the RDF are Hutu. The officer corps is slightly more Tutsi due to RPA origins, but there has been a pragmatic hands-on drive to train more Hutu officers in the RDF and other security services. Hivi unafikiri Tutsi wanaweza wakashika nafasi zooooote serikalini bila Hutu when the former is out-numbered 9 to 1 almost? Mbona una dharau sana Rwandese hutu who live in Rwanda? Kama kungekuwa hakuna opportunities for Hutu do you think they'd still live in that country? Unataka mambo ya ku-balance kwa uwiano wa ethnicity? Mbona hapa kwetu hatufanyi hivyo. Ungeonaje kama watanzania wenzi wetu wangepewa vyeo kwa u-kabila au u-dini?
As for your grudge over French being struck down as an official language; hii haikuwa ili kuwapendeza returning refugees who are mainly anglophone. Kwani hao refugees ni wangapi? French is a bogus language and worse yet French culture was central in fostering divisionism in Rwanda. Kagame made a wise move to side with the English language. Rwandese kids nowadays speak English because it is the most widely spoken language in the world.
Narudia tena, FDLR wana chuki na Kagame na Tutsi. Being culprits and remnants of those who perpatrated the genocide against the Tutsi who continue to be indoctrinated in the ideology of hatred makes them Tutsi haters. If you plan to convince us otherwise then you are living in another planet. It goes without saying that these FDLR terrorists are nothing but genocidal revisionist murderers who unless they renounce their evil ideology, will be ostracized by society. The RNC - Nyamwasa, Karegeya have held meetings with FDLR to discuss how to overthrow Kagame. This is evident. There are even snaps taken in South Africa after the meetings. Unataka waitwaje kama sio FDLR collaborators? Au kwa kuwa ni Tutsi? The problem of detractors in Rwanda is more complex than that and transcends ethnic lines. Not all hutu are FDLR and not all Tutsi are PRF.
One thing is certain; Rwanda will never be ruled by an extremist - be they Hutu or Tutsi. Never again. In fact nimepewa habari kuwa kuna mpango wa wanyarwanda wenye akili kufanya amendment ili Kagame agombanie u-Rais uchaguzi ujao. Ni jambo la mbolea sana, nawatakia kila la kheri.
And you can't do anything about it. Can you? Sit back and enjoy the ride dude. We are in for the long run.
Na ajabu ya kwao hawayafatilii
Spot on mkuu.
cha ajabu kwenu hata forum hamna mnakuja kwenye forum zetu.
1. kwa kudandia treni kwa mbele sikuwezi. hata hujaelewa unajibu, hebu soma tena wewe.
pointi ni kuwa kama nyinyi mngekuwa mnafatilia ya kwenu huku kwetu mnafuata nini?
2. hapo kwenye "we are..." kila mtu anajua maana yake ni 2-3 tutsis and a multitude of IDs! :A S wink:
Sikumbuki kama nimeku quote sehemu yoyote?????
sielewi kwa nn unahangaika kuniquote???? am too busy time ya kubishana na ww sina am not of ur type pls..................
This is a forum bibie, kama hutaki kuwa quoted then don't post! Sio unapost utumbo halafu unataka watu wakae kimya, ukitaka hilo hamia Rwanda ambako kagame akipost hakuna kubishana either you "like" or you leave. JF ni forum ya great thinkers, lazima uwe tayari kutetea ulichoandika.