ANGELOBUSE
Member
- Aug 28, 2017
- 32
- 7
Je ni kwel tech business inalipa kuzid biashara yoyote ile?
hawawezi kuwa mabilionare kwasababu hawajabuni vya kwao.Technology pays, Kuna watu wana viofisi kkoo vina kompyuta na printer Kwisha,jioni anafunga hesabu laki 5 why can't they be billionaires?
Investment unamaanisha nini mkuu??Kuna kipind huwa kipo chanel Bloomberg' kinaitwa bloomberg technology' kuna kipindi walikuwa wanashindanisha high profitable sectors in world kulikua na Tech, finance & investment kulikua na vigezo ilikupata mshindi (sikumbuki vigezo vyote kwa maana vilikua kama 6 au 7 ivi)
baadhi vigezo vilikua ivi
1.PROFITABILITY
2.SAFENESS
3.RETURN OF INVEST
4.DEMAND
Vigine nimesahau lakini nakumbuka Tech' ilikua ya pili na investiment ya tatu, Finance' financial service ndo ilishika namba moja kwenye secta muhimu na yenye high profitability in world ili win kwenye vipengele vi 5 ivi au 6, wakati Tech' ilishinda kwenye vipengele 4 lakini cha 5 kilikua na utata.. (walikua wana sema financial sector inaitaji sana Tech ku run industry yake) pia investiment ilikua ya tatu kwa kushinda Vipengele 4 sawa na tech
Waliojadili wengi ni watu wa hizo sector
nilimuona, co-founder wa Airbnb, co-founder wa apple, Founder wa google, CEO of bank of america wengine hata siwajui.
Kwangu mm secta bora na zenye faida ni
1.FINANCIAL SERVICE
2.TECH
3.TOURISM
4.INVESTIMENT