Why don't poems pay in Tanzania?

Joseph E.M,

Kuna hili shairi A dream within a dream by Edgar. Ameelezea the difference of time and our perceptions of life itself.

He considered grains of golden sand as TIME.

The grains golden sand are Few, yet they creep without noticing . He wish he could grasp them with a tight clasp. Here he was expressing the denial of death.

Ukiwa unatunga Mashairi make sure ni more appealing and meaningful for the great thinker

Good luck
 
Mim ni mtu wakawaida sio mtunzi ila naona mashairi yako hayavutii, usivunjike moyo inawezekana ukawa unajua kutunga ila hayavutii.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya jambo linalofanya washairi wengi kufeli ni huko kutojulikana, kusema kweli mimi leo ndo nakuona JF kama mshairi, jambo hili tumejadili kiasi cha siku saba zilizopita sehemu fulani, hebu nitafute tuzungumze kwa kina kuhusu jambo hili.
 
Ahsante kwa ushauri. Naendelea kufanyia kazi swala hili.
 
inatakiwa uandike mashairi mazuri, kila kitu kinalipa kikiwa kizuri. Tatizo la waandishi wengi wa Tanzania hatupendi kusoma kazi za wenzetu wanaofanya vizuri kwenye tasnia hiyo. Ukijua wanaofanya vizuri kwenye ushairi wanaanikaje na wanaandika kitu gani utaanza kuona mafanikio. Na sio ukijua kanuni za uandishi tu basi unakua mwandishi. Mwandishi mzuri ana maono. Angalia kazi nzuri za ushairi duniani na Afrika halafu ujipime kama upo kwenye level hizo
 
I admire people who can do poetry, I wish I could but I guess we are all different.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you. I appreciate your honesty... Personally, I started writing poems while I was in form 4 (2014), as a way of expressing my ideas, imagination and creativity.
I believe that you can also achieve whatever you put your mind into it. Still, with our differences, we can do many great and productive stuff!
 
Mim ni mtu wakawaida sio mtunzi ila naona mashairi yako hayavutii, usivunjike moyo inawezekana ukawa unajua kutunga ila hayavutii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali, nimekupata.
Kwa mtazamo wako unaweza ukawa upo sahihi.
Nimetunga mashairi karibia 300 na hapa nimetuma mashairi machache sana ili muone. Nisingeweza kuyatuma yote hapa ili uone lipi linakuvutia na lipi halikuvutii.
 
Nashukuru kwa ushauri.
Binafsi, napenda kazi zangu ziwe za kipekee na tofauti kuliko kujilinganisha na wengine. Ila bado naendelea kujifunza...
 
Moja kati ya jambo linalofanya washairi wengi kufeli ni huko kutojulikana, kusema kweli mimi leo ndo nakuona JF kama mshairi, jambo hili tumejadili kiasi cha siku saba zilizopita sehemu fulani, hebu nitafute tuzungumze kwa kina kuhusu jambo hili.
Sawa kaka.
 
nakazia, anatakiwa awe creative! nake it short but hot

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivi ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผau sio?

"That dazzling smile oozes the cone,
That angelic face seizes the loan,
That voice soothes the torn.
Who says the beauty are yet to be born?"

NB: I'm not a professional poet; bado najifunza...
 
Mimi napenda Ushairi na ni mtunzi pia, mashairi ninayo yahusudu na kuyapenda ni ya Kiswahili na Kiarabu.

Ushauri wangu kwanza jifunze uandishi mzuri na utunzi wa Mashairi. Sababu unaandika pia ya Kiswahili, lengo uandike kazi za kuvutia na bora zaidi, kwa kuanzia soma kitabu cha Sheikh Abeid Kaluta Amri, kitabu chake kinaitwa "Kanuni za kutunga Mashairi na Diwani ya Amri", kadhalika soma mashairi ya magwiji.

Kisha fanyia kazi ushauri wa wadau wengine walio kupa.
 
Ahsante.
 
Kama hivi
au sio?

"That dazzling smile oozes the cone,
That angelic face seizes the loan,
That voice soothes the torn.
Who says the beauty are yet to be born?"

NB: I'm not a professional poet; bado najifunza...
exactly mkuu,.. hongera sana, anyways unajua mkuu
 
Hili ndiyo tatizo kubwa sana, mimi huwa nawaambia vijana wenzangu huwezi kuwa gwiji na guru kama husomi kazi za wakubwa wako, sababu mkubwa mkubwa tu na aliyetangulia ametangulia.

Vijana wanakukuruka na kazi zao tu mwisho wa siku kazi zao zinakuwa nyepesi na zisizo dumu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ