Mh! Wamoroko kujiita wazungu , ndo mara ya kwanza kusikia hii !morocco wanasema ni wazungu na siyo waafrika, pia ni wamejazana sana huku ulaya, kumbuka kutoka morocco kuja ulaya ni km 14 tu za ndani ya maji
kwani kuna faida gani kuwa member wa AU.....sikuona faida ya OAU na sasa sioni faida ya AU.
kwangu AU ni klabu ya wakubwa kukutana kunywa chai, kahawa, kupiga soga na kubadilishana uzoefu wa namna ya kufanya ili waendelee kutawala aidha ikiwa ni kwa mabavu au demokrasia feki ya kuiba kura na kuua wapinzani wao.
In case you didn't know, here are the benefits of AU http://www.au.int/en/sites/default/files/Strategic_Plan2009-2012.pdf