VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Insurance companies speak of damage done by an earthquake or storm as an "act of God." Sometimes, when a child's life ends prematurely, people will even say that God took the child to be with Him.
When an accidental death occurs or a weather disaster or earthquake demolishes buildings and injures or kills people, is it fair to classify such troubling events as deliberate acts of God?
Certainly not! In reality most of these tragedies fall under one of two categories- time and chance and human error.
Such tragedies usually result from people being at the wrong place or in the wrong situation at the wrong time. Their cause is similar to wise King Solomon's explanation of why being faster, wiser or stronger may not always determine one's success. "I returned and saw under the sun that-The race is not to the swift, nor the battle to the strong, nor bread to the wise, nor riches to men of understanding, nor favor to men of skill; but time and chance happen to them all" (Ecclesiastes 9:11). The same principle normally applies to most victims of hard-to-explain disasters-they simply happen to be at the wrong place at the wrong time.
Recently a newscaster expressed the skepticism of many by asking, "Why would God allow such terrible things [like the thousands of deaths in the World Trade Center disaster] to happen?" Appropriately he did use the word allow rather than cause. Nevertheless, his question implied that we might have reason to suspect that God doesn't care about what happens to us.
Why are we so quick to question God's goodness and fairness when something goes wrong but take for granted the bountiful blessings He has already given us? Is it fair for us to give ourselves the credit for the abundance of good things we enjoy and then blame God for the bad?
Couldn't it be that we need to reevaluate our perspective? Shouldn't we acknowledge that we might avoid disasters if we put far more effort into learning and following the instruction and wisdom God has so generously and helpfully revealed to us in His Word? Isn't this a time to examine our own ways rather than suggest that maybe God should accept the blame for our troubles?
Long ago God expressed His thoughts about accusations that He is unfair: "... The children of your people say, 'The way of the LORD is not fair.' But it is their way which is not fair!" (Ezekiel 33:17).
Isn't it possible for us to acknowledge that sometimes our opinion of God really isn't fair-or that God really could be consistently fair, even when He allows us to learn important lessons the hard way?
Let's learn to be more vigilant in examining ourselves, admitting our weaknesses and mending our own ways. As we do, we'll start to see that God has been much fairer with us than we could have ever imagined. GN
Narudia kusema tena hakuna mke mbaya, ila kila mwanamke ameumbiwa mume wake na kila mwanaume ameumbiwa mke wake wake. Tunachokosea unamchukua mke wa John unamuacha mke wako naye anachukuliwa na James kamwe hamwezi kuendana. Mfano mwanamke anaweza kuwa mchafu lakini mwanaume ni msafi na anajua kabisa hiki kinakaa hapa na hiki kinatakiwa kikae hapa sasa kama aliyemuoa ni mke wake akimfundisha ataelewa. Lakini kama sio mke wake ataona mwanaume ana gubu, anasema sema, haridhiki na utendaji wake. Hivyo mwisho wa siku na mwanaume naye anachoka anaona kero.
Kujipa moyo...kumpa mtu mwingine lawama..kukataa responsibility!Kumtupia Mungu lawama makes us feel better!We don't want to admit our mistakes..wrong doing and feel guilty about it!We would rather blame it on a higher power and feel like there was nothing WE could have done because God wanted and made it happen!
Hapo kwenye BOLD...
Hakuna mke mbaya.., wala hakuna mtu anayezaliwa na Tabia mbaya yote ni mazingira na malezi, na tukiwa wavumilivu ninauhakika hata mke wa John ninaweza kuishi nae raha mustarehe...
Sasa ubishi wangu unakuja mtu ndoa inamshinda eti anasingizia Mungu hakunipangia huyu, au anapenda mwingine anasema huyu hakuwa chaguo la Mungu ila huyu ndio anafaa.
Pia hakuna mtu anapenda kukaa na mzigo, iwe James au John.., na Busara na uvumilivu wa John isiwe kigezo kwamba yeye alipangiwa amuoe mke mvivu, mgomvi na muongo.. au unasemaje?
Kwahiyo mimi naona wote waliopo wanafaa sana na kipimo cha mke mzuri ni uvumilivu wako wa mangapi unaweza kuyasamehe,
True lakini tukirudi kwenye chanzo, hii issue ya ulevi na uchafu ni kutokuwa na Busara za mtu na sidhani kama Mungu anapenda mtu kutokuwa na busara, pia uvumilivu nadhani inabidi wote tuwe na uvumilivu wa mizigo tuliyonayo...Well, kipimo cha uvumilivu. Nafikiria hivi!! Naweza nikaweza kumvumilia John kuliko ninavyomvumilia James!!
Mfano nashindwa kuvumilia tabia ya ulevi kwa James, kunijia na domo linanuka pombe na sigara, lakini nikamvumilia John kwa tabia yake yakuingia na viatu vyenye tope hadi bed room. Wakati huo huo mwingine haoni shida hio tabia ya James lakini hii ya john anatamani kuikimbia nyumba. Fikiria hapo!!
True lakini tukirudi kwenye chanzo, hii issue ya ulevi na uchafu ni kutokuwa na Busara za mtu na sidhani kama Mungu anapenda mtu kutokuwa na busara, pia uvumilivu nadhani inabidi wote tuwe na uvumilivu wa mizigo tuliyonayo...
kwahiyo naona kulingana na wewe upo wapi hapo ndipo utapata Mwenza wako.., sidhani kama Mungu anaweza akakupangia James wako awe Singida wakati wewe upo Dar.., ila huyo ambaye unaweza ukakutana nae by Chance ni kumuomba Mungu uweze kuvumilia yote mabaya aliyonayo..., na kama nyote mna fikra zinazoendana nadhani mnaweza kuishi kwa kukubali utofauti wenu, na mmoja kutokujaribu kufanya jambo ambalo ni karaha kwa mwingine..., Sababu kwanini uende na viatu vya matope mpaka chumbani wakati mwenzako kapiga deki.... au ukinywa pombe na kuvuta sigara kwanini usipige mswaki...
Hivyo basi nadhani mke mwema ni Mwenye Busara..., na wake wote wametoka kwa Mungu.., na yataka Mume mwenye Busara au Mke mwenye Busara kuweza kukaa na mke/mme na kumfanya awe mwema. Sababu wema wa John wa kuweza kukaa na Asha mwenye Tabia mbaya hakufanyi Asha awe mwema sababu ya uvumilivu wa John...😛opcorn:
Kweli, nafikiria hivi!! Kwa sababu njia za Mungu sio njia zetu na mawazo yake siyo mawazo yetu hata kama Asha atakuwa Marekani, kama huyo ndo Mungu kanipangia lazima itatokea njia tutakutana!!
Hapo kwenye busara ni kweli Mungu hauhusiki asilimilia mia moja. Hapo kwenye uvumilivu bado nafikiria moyo wa kuvumilia mambo unatofautiana kati ya mtu na mtu na tabia ya mtu anayehusika.
Hapo kwenye nyekundu, sababu Mungu ndio anatupangia mwenza huoni kwamba yeyote tutakayempata ndio Mungu ametupangia ?, na tukishindwa kukaa nae ni sisi ndio tumevunja kila Mungu alichotupangia ?
Kwenye Bold kwahiyo sababu mimi ni mvumilivu.., au sababu wewe ni mvumilivu na unavumilia yote huoni kwamba wewe basi utakuwa mke mwema wa mtu yoyote awe Juma, James, John au Bakari ?
mfano kufukuzwa kazi, matatizo ya ndoa n.k. kila mcha mungu atapewa mtihani ili akifuzu vema bila kumlaumu Muumba aende peopni...utakuta anayemlaumu Muumba kwa matatizo yake ni mtu anayependa dunia ..sana hajui hukop akhera kulivyo pazuri (imani yakini)
Nafikiria hivi, sio yoyote utakayempata ametoka kwa Mungu, inaweza kuwa ni nafsi yako tu imeamua. Mfano unaweza kumpenda mtu kwa kuangalia elimu yake na ukamkubali vile alivyo kwa elimu yake, na ukamkataa mtu mwenye elimu ya chini kumbe huyo wa chini ndo alikuwa chaguo la Mungu na huenda Mungu angefanya njia akakubariki na yeye akasoma/ukamsomesha halafu maisha yakaendelea.
Hapo kwenye uvumilivu naomba tusiseme kuvumilia tuseme kuchukuliana na udhaifu wa mtu. Manake uvumilivu umekaa kisadaka sadaka zaidi. Kwa hiyo naweza nikachukuliana na udhaifu wa mtu B lakini nikashindwa kuchukuliana na udhaifu wa mtu A. Wakati huo huo mwingine akaweza kuchukuliana na mtu A akashindwa kwa mtu B.
]Kwahiyo unataka kusema haya mambo mabaya yanayotokea ni mitihani ya Mungu ? Mfano wewe hufanyi kazi, unachelewa kazini na unatembea na mke wa Boss...., Ukifukuzwa kazi huo ni mtihani au ni uzembe wako mwenyewe na tabia zako mbovu zilizopelekea hii adhabu ambayo inakustahili[/U]...?
Katika issue ya kusafisha ulimwengu kwa majanga kwa faida ya vizazi vijavyo hapo tutakuja baadae kwanza tudeal na hili la mitihani ya Mungu
Binafsi naamini mambo yote ya heri na ya shari anapanga mungu.
Kwa muumini kukosa ni mtihani (given amafuata kanuni zote) na kupta ni mtihani (siyo kwamba ni ujemadari) eti mimi nimepata kwakuwa nina akili sana au bidii sana ni neema za Muumba na mitihani yake...
True lakini tukirudi kwenye chanzo, hii issue ya ulevi na uchafu ni kutokuwa na Busara za mtu na sidhani kama Mungu anapenda mtu kutokuwa na busara, pia uvumilivu nadhani inabidi wote tuwe na uvumilivu wa mizigo tuliyonayo...
kwahiyo naona kulingana na wewe upo wapi hapo ndipo utapata Mwenza wako.., sidhani kama Mungu anaweza akakupangia James wako awe Singida wakati wewe upo Dar.., ila huyo ambaye unaweza ukakutana nae by Chance ni kumuomba Mungu uweze kuvumilia yote mabaya aliyonayo..., na kama nyote mna fikra zinazoendana nadhani mnaweza kuishi kwa kukubali utofauti wenu, na mmoja kutokujaribu kufanya jambo ambalo ni karaha kwa mwingine..., Sababu kwanini uende na viatu vya matope mpaka chumbani wakati mwenzako kapiga deki.... au ukinywa pombe na kuvuta sigara kwanini usipige mswaki...
Hivyo basi nadhani mke mwema ni Mwenye Busara..., na wake wote wametoka kwa Mungu.., na yataka Mume mwenye Busara au Mke mwenye Busara kuweza kukaa na mke/mme na kumfanya awe mwema. Sababu wema wa John wa kuweza kukaa na Asha mwenye Tabia mbaya hakufanyi Asha awe mwema sababu ya uvumilivu wa John...😛opcorn: