Hapana bhana lara1 ".........HAJAONJESHWA KIDUDE"
unajua kupull away ni njia moja inayotumika sana hutokea wakati mtu ana avoid kutupiwa kwa friendship zone so ana pull away na kujipanga kisha kurudi tena,afu haimaanishi mtaachana bt he'l just need a time away either alone or not with you