Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

..........Mwe!

Umenisababishia machozi kwa kucheka!
 
Teh teh teh mkuu hii mbona inaongelewa sana kwenye media lakini nashangaa watu hapa hawajaitundika jina bado watu tumelikalia.

DUH, HII KALI, sipati picha **** moja kubwa kwenye kiti cha mbao atakaaje!!
hahaaa tehteheee
 
DUH, HII KALI, sipati picha **** moja kubwa kwenye kiti cha mbao atakaaje!!
hahaaa tehteheee

Hahahaha huyo ndo mke wa waziri katika serikali ya awamu ya 4 hehehe alitumia dawa za Kichina kwa hiyo kalio mmoja limeumuka jingine au la upande mwingine lipo kawaida kwa hiyo anakaa kama amekata spring.
 
Fidel binadamu haridhiki, huwezi sema unamridhisha atakavyo yeye, kisa nipatwe na shida zote hizo ni nini wakati akishatumia ataenda tu nje kutafuta ambazo ni virgin(kama zipo ya huko)...mie cwezi ajiendee tu huko huko nje.
 
Hahahaha huyo ndo mke wa waziri katika serikali ya awamu ya 4 hehehe alitumia dawa za Kichina kwa hiyo kalio mmoja limeumuka jingine au la upande mwingine lipo kawaida kwa hiyo anakaa kama amekata spring.

hiyo kali.... sasa shida zote hizo za nini?
 
asee mkuu hebu ni-PM bana nimjue huyo bibie!.
 
[/COLOR]

hiyo kali.... sasa shida zote hizo za nini?

Kwani hujui mke wa waziri alitaka kuwa na wowowo tukunyema dah ndo hivyo dawa za kichina zikamuumbua limeongezeka moja jingine lipo vile vile hebu niambie akikaa inakuwaje?
 
Kwani hujui mke wa waziri alitaka kuwa na wowowo tukunyema dah ndo hivyo dawa za kichina zikamuumbua limeongezeka moja jingine lipo vile vile hebu niambie akikaa inakuwaje?

ndio hapo na mie cpati picha........
 
teh teh teh mpwa hili jina la waziri sitoi mpaka mnitafutie demu.

mkuu to specification za huyo demu tumsake fasta:
-mwembamba
-mnene kiasi
-mweusi
-mweupe
-mfupi
-mrefu
-makalio makubwa
-english figa
-jimama
-bibi kizee
 
Mbu hili swali ni swali muhimu sana na nina uhakika tukilipatia ufumbuzi basi haya ya nyumba ndogo na pengine hata ukimwi vitakuwa ni historia. Hivi ni kwa nini maana badala ya watu kuhangaika kuzilinda ndoa zao kwa kuwa waaminifu ndio kwaanza mtu anaunja uaminifu tena anajustify kabisa!

Zamani ilikuwa ni dhambi, mwiko na aibu kubwa ukijulikana unatembea na mume wa mtu lakini leo hii ndo kama hivi mtu anadiriki kabisa kuanika hadharani kuwa nanafurahia kitendo hicho na anakiri kuwa hataacha!!

Kuna rafiki yangu yeye alibahatika vibaya kuanza mapenzi na mume wa mtu, sasa ni kama gundu kila anayemtongoza ni mume wa mtu yaani hajawahikuwa/fuatwa na bachelor hata mara moja ....... tangu 1998 hadi sasa 2009 ameshakuwa na boyfriends zaidi ya wanne- wote waume za watu.
 
Masanilo, Georgie na Fidel.................... Mmebaka thread yangu. Nawasue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…