Why CHADEMA will always be opposition party


Do not ever fool yourself my friend. It is said that politics is the art of the possible. There is no one formula to carrying out political activities. Methinks the fact that you have taken trouble to write here something about Chadema and not TLP or DP is proof that the party has rubbed you in some way; it has either impressed you or it appears to pose a significant threat to the status quo.
 
Mkuu assadsyria3, hivi wewe ndiye uliyekuwa umekabidhiwa mikoba ya utabiri ya Sheikh Yahya?

Tunaomba utujuze tu,ili tukutambue rasmi kuwa ndiye mtabiri wetu mpya, kipande hii ya Afrika ya Mashariki na kati!
 
Wewe unaishi dunia gani? Naona ulikufa umefufuka huoni yaliokuzunguka? Huoni sera ya pingamizi ndio vision ya ccm?
 

inabidi TAKUKURU ichunguze umoja wa vijana CCM hizi hela za kujenga jengo la pili pale lumumba wamepata wapi?

Je hazihusiani kweli na hela za ESCROW?
 
Wewe unaishi dunia gani? Naona ulikufa umefufuka huoni yaliokuzunguka? Huoni sera ya pingamizi ndio vision ya ccm?

kuweka mgombea asiejua kusoma
kutumia mhuri wa mtu binafsi badala ya mhuri wa chama
kasome sheria za uchaguzi sio unaharisha tu halafu huchambi
 
Mkuu assadsyria3, hivi wewe ndiye uliyekuwa umekabidhiwa mikoba ya utabiri ya Sheikh Yahya?

Tunaomba utujuze tu,ili tukutambue rasmi kuwa ndiye mtabiri wetu mpya, kipande hii ya Afrika ya Mashariki na kati!

jadili hoja sio mtu. kawaida watu wajinga hujadili watu watu werevu hujadili hoja
 
You seriously think so? Tell us more about 'ulahgai wao'. We need sound arguments to convince us; not just mere statements.

wamevunja makubaliano ya ukawa mfano geita arusha mjini manzese
kuxhukua issue ya escrow km yao na kuwaacha ukawa trip ya ujerumani
kufukuza akili kubwa ili kuepuka challenge
huu ni baadhi ya ulaghai
 

impress never ever
 
Chama kama alivyo mtoto kinakua, cdm kikiwa bado kijana wa miaka 22 ameshakua tishio kwa lizee la miaka 60 (since 1954) japo n kijana amekua threat mpaka umeona japo nawe uweke hadharani uwoga wako juu ya huyu kijana! nataka nikuhakikishie cdm inafahamika kila kona, vjijin hawana muda na falsafa wala itikadi ya chama wao wanataka mtu anayewatetea na majizi ya mali zao, huyu kijana ndiye mtetezi dhid ya majiz CCM-ESCROW
 
Kwetu sisi wananchi kuendelea kuwa na Chama cha Upinzani sampuli ya CDM itakuwa heri zaidi kuliko kwa CCM kuwa Chama Cha Upinzani Nchini.
 

I gave you the MIDDLE Finger
 

mkuu hp sio fb. argue kwann vijijin hawaitaji sera kwan wao hawaitaj afya elim miundo mbinu maji etc
 
inabidi TAKUKURU ichunguze umoja wa vijana CCM hizi hela za kujenga jengo la pili pale lumumba wamepata wapi?

Je hazihusiani kweli na hela za ESCROW?

huna habari wenzio wamegeuza chama saccos wanajikopesha.
 
Je ccm inaongoza kwa vile wajua itikadi na sera za ccm au hongo ya chumvi,pombe na kanga? Ccm ni chama tapeli kiogope.
 

You seem to have a single digit IQ, which makes you a clear and present danger to our nations well being! Bs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…