Why are jews so smart?

Chai hii, imebidi nifuatilie per capital income ya Israel.
 
Unaongelea Ashkenazi Jews amabo ethnically ni wazungu. Wazungu wana high average IQ compared to other races
Unapozungumzia mzungu unazungumzia mzungu yupi?Navyofahamu mimi waScotish(Scotland) toka UK ndio wazungu original wenye nywele za njano na macho ya blue.
Ni sawa na arabs,arab original purely ni wanaotoka Yemen,Ukizungumzia wenye IQ kubwa ni watu toka Singapore,HongKong na Japan ndio wapo in top.
Israel yenyewe hio ipo kwenye 11 au 12 kwenye IQ ranks,jaribu kutembelea mitandao tofauti tofauti kuthibitisha.
 

Msichana wa Scotland.Mzungu Original.

Jews weusi wapo pia ila sijawahi sikia tetesi wana IQ kubwa,why????

Mvulana wa kiyahudi purely.

Wayahudi purely.

Ukitazama hapo juu kuna tofauti kubwa kati ya mzungu original,Ashkenazi na Jews wenyewe.
 

Hiyo definition yako ya mzungu pure ni uongo mtupu. Kuna Anglo Saxons( Scotland,Ireland, Uingereza) , Germanics(France, Germany, Netherlands...), kuna Nordics /Vikings( Finland, Sweden, ) , Mediterraneans( Spain, Portugal ,Italy) na mwisho ni Slavic( Russia,Ukraine,Poland...) Hayo ndo makundi makuu ya wazungu

Ashekanzi Jews ni mchanganyiko ya hayo makundi ila wengi wametokea Eastern Europe

Asilimia 90 inventions duniani zimetokea ulaya kwasababu wazungu wana high average IQ
 
Kuna kitabu kinachoelezea?

Kama kipo kitajwe tafadhari
 
Usilete mawazo ya kitumwa,kama ungeishi (nahisi bado hujaishi)huko ulaya unakokusifia ndio ungejua wazungu wana IQ kubwa au la,ila kwa sababu unaongea story za kuambiwa lazima utakuwa hivyo,au ungeishi na hao jews ungejua kama wana IQ kubwa au la.
Kwa msaada tu,soma Ugunduzi wa Egypt waliofanya 3000bc,Egypt walijua hesabu thousands of years bc,walitengeneza karatasi na calendar bc,Europe walikiuwa bado,ndio usema wana iq kubwa?Mbona una mawazo ya kitumwa sana wewe kama huishi 21st century?
Basi kama kusoma hutaki sikiliza hata ile nyimbo ya Nas "I can" na ujumbe uliomo uone mtu aliyezaliwa na kukulia Amerika miaka yote anachoongea,na kaishi na hao wazungu unaosema wana IQ kubwa kuliko wewe,sikiliza anazungumza nini kuhusu Africa.Tena kuanzia 2:40 pale sikiliza kwa makini kionjo tu anakwambia wazungu walikuwa wanakija Africa kupata elimu.
Kama una hizi theory za kipuuzi watoto wako wana shida kuwa na mzazi kama wewe.Unaandaa kesho ipi? Unafikiri China wangefika pale wangekuwa na mawazo mgando kama ya kwako?
Nimesema kuwa kila race ina watu wenye IQ kubwa lakini unawatumiaje?
Hao wazungu wanaopitisha ushoga ndio wana IQ kubwa au ushetani ule? Unajua IQ wewe? Ulishasikia China kuna ushoga na serikali imehalalisha?
Ndio mzungu original ni mtu toka Scotland unabisha?
Arab ni mtu toka Yemen,kuanzia Iraq,Iran sijui Afghanistan na kwingine huwezi sema wale ni waarabu pure.




Laiti kama waafrika tungekuwa na tabia ya kujitapa kama wenzetu basi tungekuwa zaidi ya hao wazungu na jews.
 
Unadanganya watu bila aibu 90% inventions ni wazungu?
Eti wana high average IQ unajua wenye IQ kubwa wewe?
Homework ingia mtandaoni utafute aibu ikushuke.
 
Unadanganya watu bila aibu 90% inventions ni wazungu?
Eti wana high average IQ unajua wenye IQ kubwa wewe?
Homework ingia mtandaoni utafute aibu ikushuke.

Acha kukataa vitu ambavyo ni wazi. Race gani inaongoza kwenye Science and Technology? Huyo China unayemsifia kila siku anaiba technology kutoka Western world na Russia ambao wote ni wazungu

Hiyo simu unayotumia imetengenezwa na mzungu. Hilo gari unalotembelea limetengenzwa na mzungu. Hizo nguo unazovaa zimetengenzwa na mzungu.

Unanipa mifano ya waafrika walioendelea katika sanaa na michezo ? Tangu lini dunia ilibadilishwa na sanaa na michezo? Boss, dunia inabadilishwa na Science and Technology .

Boss, wazungu wanaitwa Caucasians. Maana yake ni kuwa asili yao ni milima ya Caucas amabyo ipo Southern Russia karibia na nchi ya Georgia. Scottish people ni jamii moja wapo ya wazungu Anglo Saxons
 
We unazungumza kitu gani?Ukiacha sports ambapo inaonyesha waafrika ni jinsi gani tulivyo strong muziki nakupa sasa kama ulikuwa hufahamu kwamba ina define IQ ya mtu ndio maana mleta uzi ukisoma alipoelezea jews na quote mstari

It goes without denial that Jews are ahead in all aspects of life such as engineering, music, science and most obvly in business.

Wamezungumzia music halafu nashangaa unachoongea,Kwa taarifa yako hata music ni hesabu,kuanzia kucheza guitar na piano.
N suala zima la michezo pia blacks tupo vyema,michezo inaonyesha afya ya mtu kia akili na kimwili pia,ndio maana mleta uzi na mquote line hii.
Jewish children are also involved in athletics such as archery, shooting and running. They believe that archery and shooting wld make the brain more focused on decision-mkg and precision.

Inabidi nizidi kukushangaa shooting and running ni sports hizo,hapo tunawapata watu kama akina Tiger Woods,Serena yule mama anayecheza Tenis n.k Mkuu dont you see?
Michezo kwa taarifa yako ina define IQ ya mtu na ni kitu kizuri sana kuwahimiza watoto,japo waafrika tunazaliwa na hivyo vipawa na kupuuzia kama wewe, na unawaza tu science and tech,utafanyaje science hali ya kuwa akili imedumaa?
usipuuze.
Science utaifanya ukiwa kapuku?
Unajua budget ya kurusha rocket?
Unajua NASA budget wanayoitumia?
Huwezi fanya science kama uchumi mbovu,Nchi za Amerika na Ulaya huko kote wameiba sana mali zetu mpaka leo wanaiba nakufanikisha majaribio ya science and tech.
Wale ni wavamizi na ndicho wanachofanya sasa middle east,kuchukua kitu cha mtu kwa nguvu,wanajikusanya wengi,US,UK,FRANCE,GERMAN n.k.
Halafu eti wapo juu kwenye Science and Tech.
Msome mtu anaitwa Malcolm X,soma kwa nini aliacha shule na kuwa mkorofi mtaani,baadae akawa mtu ambaye hatosahaulika katika historia,itakueleza kwa nini Africans na akili nyingi tulizo nazo,vipaji n.k kwa nini tunakuwa nyuma naquote mstari toka kwenye biography yake.

During Malcolm's early years, his family moved several times because of racism (dislike and poor treatment of people based on their race). They moved from Omaha, Nebraska, after being threatened by the Ku Klux Klan, a group that believes that white people are superior to all other races. While living in an all-white neighborhood in Michigan their house was burned. When Malcolm was six years old, his father was mysteriously murdered. The black community was convinced that white people had committed the crime. Three of Malcolm's four uncles were also murdered by white people.

Mpaka leo huwa nashangaa sana na kusikitika kuona mu afrika mwenzangu bado ana mawazo ya kitumwa japo kuna internet,vitabu na shuleni pia tunakwenda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…