Why are Jews so powerful?

Status
Not open for further replies.

kipindi cha nyerere: well organized social services provision- shule bure mpaka mlimani, tiba bure, ikulu panaheshimika, mambo ya serikali ni sirikali. Wakati wa mwinyi: kila kitu ruksa, ikulu ni genge................., poor social service provision, low revenues. Wakati wa mkapa: mapato juu, ikulu panaheshimika......., wkt wa kikwete: matabaka yako wazi,,...........
 

Mkuu, Nice try!

Is that because of their faiths, one set being christians, and the other being muslims?

-What about njaa na foleni, vita ya Uganda ambayo iliifukarisha Tanzania
What about ukapa walioupata Watz wakati wa Mkapa na kuanzisha kampuni ya Anben, EPA? Kwa mara ya kwanza Tanzania ilitengeneza wakimbizi wa shimoni-( a bit off topic)- but was this because of their faith?

Any way, kwangu mimi naona wote hawa wangeweza kuiongoza vizuri nchi kama walikuwa na uzalendo na uchungu na nchi, lakini ukiondoa Nyerere ambaye naye pia alikiri kuwa alifanya makosa. Waliomfuatia wamekuwa zaidi wanajifikiria wao na familia zao, kujijengea maghorofa, kuhodhi mapande ya ardhi, na kuchukua chao mapema.

It has nothing to do with their faiths.

Lets stick to the topic! about Jews.
 

nonda, sikudhamilia kufananisha religious faith za heads of state wa tz. Nilikuwa najibu hoja ya memba niliyemnukuu-ndiye alikuwa akidadisi kama imani/dini za viongozi wetu zina nafasi katika mafanikio/kushindwa kwetu. Ila kuhusu epa pekua hapa janvini vizuri utapata ufafanuzi vizuri juu ya nani alikuwa behind EPA- SIYO HUYO UNAYEMTAJA.
 
akiwepo mjew mmoja na mfano 5000 wamfate kupigana vita mjew atashinda tuuuuuuu. barakaa za mungu
 
Hadithi za vijiweni!
Mbona hujatuambia ya kwamba ndio watu walioteseka zaidi duniani? Hakuna specialty yeyote wanalindwa kwa nguvu zote na USA. Kila wanachotaka wanapewa unategemea nini/? Wanapambana na wapalestina wenye mabomu na makombora ya kutengeneza kwa mkono!
Walikuwa taifa teule na hiyo privilege Mungu ameitoa kwa watu wote sasa!
 
Eliphaz hapo umeteleza ndugu yangu. Agano alilofanya nao Mungu kuanzia na Ibrahim ni la MILELE. Naamini unajua maana ya neno milele na Mungu sio kigeugeu. Kumbuka hata Mungu amesema atawakusanya Israeli ktk nchi yao wakiwa ktkt hali ya kutokuamini na siku onakuja atakapo deal nao wakati aki deal na mataifa ambayo waliwatenda vibaya Israel na wote walioiharibu dunia. Soma tu Biblia yako na utaona historia yote ya dunia mpaka omega iko wazi!

I love that word of God! Anyway my point was, Israel, regardless of their current spirittual situation, remains God's chosen nation!
 
akiwepo mjew mmoja na mfano 5000 wamfate kupigana vita mjew atashinda tuuuuuuu. barakaa za mungu

Hebu wacheni kusema vitu ambavyo hamuna uhakika navo. Hivyo Hitler aliuwa Jews wangapi vile? kwa mujibu wa rekodi wanayoisema ni zaidi ya milioni sita. Hiyo power yao ilikuwa wapi???????

Someni historia vizuri halafu ndiyo mulete maneno yenu hapa.
 

Ni favour ya kutoka USA na ndiyo maana wanaonekana wako powerful. Na huko USA ni kwa vile wale Jews wamekuwa matajiri na kujipenyeza kwenye system kwa hivyo uamuzi wo wote unaofanywa lazima wao wapitishe. Hakuna special privilege yo yote waliyopewa na Mungu na wala musimzulie Mungu kwa hilo.
 
kwanza tunataka kuwe na ubalozi wa israel hapa tz. hii ni kitu cha muhimu saaaaana . embu watu wote wenye mapenzi na israel tuanzeni hii kampeni kwa pamoja. mungu ibariki israel.
 

Nicolas Sarkozy President of France
 
kwanza tunataka kuwe na ubalozi wa israel hapa tz. hii ni kitu cha muhimu saaaaana . embu watu wote wenye mapenzi na israel tuanzeni hii kampeni kwa pamoja. mungu ibariki israel.

Hata na wewe sijui mkristo au nani anakuona mangara mangara tu huna thamani kwake kwa hivyo usijipendekeze kwake bureeeee.
 
yeah the only thing we can do is to join them
If you cant fight them,join them ,and according to what you ve written over there it seems that there is nothing you can do to defeat them,then why dont you join them and be one among them.
 
Hata na wewe sijui mkristo au nani anakuona mangara mangara tu huna thamani kwake kwa hivyo usijipendekeze kwake bureeeee.





wacha udandala , kwanza unaandika maruwewe :angry:
 

Mkuu,

Unafanya kazi ya Hosea sasa, Mkoshe, msafishe. Hasafishiki.It happened under his watch!
 
Kama lugha ya kiswahili ilikupiga chenga ukapata F basi wewe tulia tu.

Ukweli unauma.



ngoja ni kwambie we kilaza . israel imewekeza tanzania sana kwenye migodi ya dhahabu kuliko unavyofikiri. migodi yote ya barick ni ya kwao .kama hatutaki uhusiano nao kwanini mnakubali uwekezaji nao ? sasa kuliko wapitie Canada ndio waje kwetu kwanini tusiwe na uhusiano wa moja kwa moja ? jambo la pili sisi wa kristo ile kwetu ni nnchi teule penda usipende .
 
Mkuu,

Unafanya kazi ya Hosea sasa, Mkoshe, msafishe. Hasafishiki.It happened under his watch!

nipachike cheo chochote unachotaka ila kwa taarifa yako huyo unayemtetea wewe ndiye aliye-muster mind na kunufaika na epa. Kwa mwenye uamuzi wa kuona sasa anaweza kuona.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…