Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Mbona siku get?mwenzako shabiki sugu wa Jiwe Magufuli
Mbona siku get?mwenzako shabiki sugu wa Jiwe Magufuli
😂😂😂😂😂😂😂 kwani wako wangapi?Best president kenyatta - kenya
Andika kingereza bro hautachekwahii inaitwa wivu na ujinga,celebrate mazuri ya wengine,juu pia nyi siku moja mtakuwa kwenye kenya iko na mta expect mu celebratiwe but Rwanda na Uganda watawa diss venye mnatu diss,haha that is if rwanda na uganda hawatawapita,juu soon rwanda itawaacha tu hapo na uchawi wenu
we mjinga nini?english yenyewe hamjui,sasa mbona niandike na lugha hamtaelewa kabisa,si afadhali niandike sheng atleast muelewe
Wewe kiswahili hukijui acha ukenge wako andika kingereza,utaandika nn unachohisi hatujui sasa.we mjinga nini?english yenyewe hamjui,sasa mbona niandike na lugha hamtaelewa kabisa,si afadhali niandike sheng atleast muelewe
nikiandika english sasa ndo utapotea sana broWewe kiswahili hukijui acha ukenge wako andika kingereza,utaandika nn unachohisi hatujui sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiamini,kingereza nimesomea hadi university sijui utaandika nn hapa kiwe kigeni.jifunze kiswahili pia sio kigumunikiandika english sasa ndo utapotea sana bro
Shida ni kenya tunaandikanga english slang pia,but kiswahili maybe nipate dem wa uko kwenu anifunze hahahJiamini,kingereza nimesomea hadi university sijui utaandika nn hapa kiwe kigeni.jifunze kiswahili pia sio kigumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikaa humu jf kiswahili unajifunza tuShida ni kenya tunaandikanga english slang pia,but kiswahili maybe nipate dem wa uko kwenu anifunze hahah
hahah ni hard sana,its not thats easy
Kenya bonge la nchiLet this thread be our thread were we discuss big projects and developments in our country.
We dominate E&C Africa in almost all sectors. The Gap seems to widen year in year out.
The following are sectors dominated by Kenya in EA:
1. Biggest economy in E&C Africa - Kenya
2. Strongest Currency - Kenya
3. Largest Port - Kenya
4. Largest Airport - Kenya
5. Highest Energy Consumption - Kenya
6. Best 5 University in EA - Kenya
7. Best Infrastructure - kenya
8. Leading in Milk, Tea and Horticulture - Kenya
9. Leading in Tourism - Kenya
10. Leading in Manufacturing - Kenya
11. Leading in service industry
12. Best Education
13. Leading GNI
14. Best Global City - Nairobi
15.Best Beach Destination - Diani, Watamu 3rd Zanzibar
16.Best Democracy - Kenya
17. Leading in vehicles per capital - Kenya
18.Tallest Towers - Nairobi
19. Country with most Multi National companies - Kenya
20. Overally the best in E&C Africa. Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Best airlineBest president kenyatta - kenya
Kwa best military kdf ni sawa kabisa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Credit ya kuwapa KDF ni wingi wa vifaa vya kijeshi pia walionesha uwezo kwenye ile battle yao moja na so shabab japo kdf walipoteza wanajeshi 350 kwa nusu saa tu lkn walionesha uwezo wa kimapambano aiseCriteria ya kuwapa ubora ? Ukumbuke kwa East afrika Uganda ndio wqna personnel wengi kiliko nchi zote ... Licha ya kenya kupewa back up na israel, us na Uk lkn ktk hili la ubora wa vinosi hapo huwezi toa credit kwa kenya not a single day it is very hard ....kwanza izi nchi zpte ni maskini kwa hiyo useme kwa ubora wa jeshi toa ilo jambo ....
Credit ya kuwapa KDF ni wingi wa vifaa vya kijeshi pia walionesha uwezo kwenye ile battle yao moja na so shabab japo kdf walipoteza wanajeshi 350 kwa nusu saa tu lkn walionesha uwezo wa kimapambano aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app