Who the cap fit!

Mshana Jr umekuwa Kama Patrick lumumba wa Kenya?
 
Dah, nimekusoma bro, ila hili yai ni teke teke mno, yaani rojo limezidi, ungelikausha kidogo, halafu ungeliweka kule kule tu kwenye jukwaa pasua kichwa!
 
Dah, nimekusoma bro, ila hili yai ni teke teke mno, yaani rojo limezidi, ungelikausha kidogo, halafu ungeliweka kule kule tu kwenye jukwaa pasua kichwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji115]
 

KAPELO LITAMTOSHA NANI?
Matukio...! Yanayojiri...!! Kizungumkuti na mirindimo ya midundo...! Yanayotokea...!!!
Madukizi yako kwenye ukingo wa mkanganyiko wa kutoamini., yakifukua mashimo ya zamani yaliyosahaulikana na kulemaa ya fuko... LAKINI KAPELO LITAMTOSHA NANI!

kwanza fikiri..! Kisha.. ?
Pili.. Tafakari tena
Tatu panga na wasilisha hoja zako, kisha fanya tafakuri ya pamoja na wapinzani wako, washindani wako, maadui zako! Kila kilichovishwa kinyago kina uzuri ndani yake! Mbuyu una maisha mengi na mizizi mirefu Iliyozama chini sana, shina kubwa na majani mapana... Jifunze toka kwa mbuyu na utukufu wake uliotukuka
Buibui ana tawala toka katikati ya utando wake uliojichanua kwa nyuzi imara nyembamba na niamini mimi, mitetemo yake inapeleka hisia mpaka mwisho kabisa ikibeza nguchiro na sokwe... LAKINI KAPELO LITAMTOSHA NANI?
Kubatilisha uhalisia! Kupaparika na wapalizi.. Washindwa.. Hatari kabisa hii...
Waona mbali wamekupiku... Wamekugaragaza vipande vipande.. Hakuna cha kuhesabu tena... Werevu kuliko wewe, wasomi kuliko wewe.. Wenye busara kuliko nyie wachawi wote... Waishi kuzimu. Mkajenga chuki na bado mkachukiwa.. Acheni michezo yenu hiyo... Tulikuwa huko kabla yako... Usisahau hilo...
Unataka kujua KAPELO LITAMTOSHA NANI..??
Medali ya dhahabu ni kwa washindi sio washindwa

Pona haraka kaka mkubwa.. Tunaombea kesho njema kwa ustawi wetu sote.. Pale gugu litakapokuwa limeng'olewa na laana kukatishwa.... Lakini ni mpaka wakati huo
CC : Satan, DIVINE
 
Kithungu ni shida kwangu

Kithungu ni shida kwangu



Kithungu ni shida kwangu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…