Who remembers this?

Huyo alombeba ni mwanae wa kumzaa. Dogo aliyemuokota ni huyu aisee. Hii ndio sadaka ya kweli na ndio uchamungu wa kweli. Sadaka sio kumpelekea TB Joshua mamilioni anunue jet na uchamungu sio kukesha kwny majumba ya ibada tikihubiri kuchukiana kwa misingi ya imani. Mwenyezi ampe maisha marefu huyu mwanamke.




 
Aisee, Mungu alimleta huyu Mama kumuokoa huyu mtoto...
Ashukuriwe kwa imani yake
 
Eeh mbona sasa huyo mtoto aliyembeba ana chembechembe za uchotara ? Wakati aliyemsaidia ni mweusi
Mungu ambariki huyo mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…