comrade igwe JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 7,295 Reaction score 3,952 Oct 17, 2017 #21 Sisi Tanzania ndio wamiliki halali wa East Afrika mbona tangu long tu, we ulishaona kuna nchi yoyote ya Afrika Mashiriki iliwahi kuungana? kama sio sisi Tanzania ndio maana wenzetu wanatuangalia sana kwa wivu wao kila wakizama wanaibuliwa
Sisi Tanzania ndio wamiliki halali wa East Afrika mbona tangu long tu, we ulishaona kuna nchi yoyote ya Afrika Mashiriki iliwahi kuungana? kama sio sisi Tanzania ndio maana wenzetu wanatuangalia sana kwa wivu wao kila wakizama wanaibuliwa