donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Chin bees.. The 1&only
Lakini kwa mbele inawalipa wengi angalia marehemu XXTENACION kama yanki tu ila ana mpunga, kina 6X19Ne kule hatariubaya wa Trap ni bubble gum music haudumu kamwe.
Dah country boy ft kaligraph jones & s2k2zzy kwakweli wanaona haya balaa tupu
Why mkuucountry boy nuksi ila simkubali
Wana confuse confidence na ego some even think that my moves are illegalKweli ile Ngoma illisimama
Trap ya 6ix9ine naiona kama haina vionjo vitamu kama kina travis scott labda ngoma yake ya gottiLakini kwa mbele inawalipa wengi angalia marehemu XXTENACION kama yanki tu ila ana mpunga, kina 6X19Ne kule hatari
Kiukweli trap imekuja kuharibu real hip hop culture. Mziki hauna stimu za hip hop zaidi ya kusifia lambo na gucciTrap haiwezi kudumu,Trap ni singeli ya Marekani,Trap na singeli ni kama ushuzi tu,unavuma na kupotea,japo upo ila ni uchafu,ingawa ni sehemu ya afya!!
Uuuh..!uuh.!!Skii skiii,Check check,,naikubaligi sana Trap ya Future,Migos,Lil yatch na FutureKiukweli trap imekuja kuharibu real hip hop culture. Mziki hauna stimu za hip hop zaidi ya kusifia lambo na gucci
trap music ndio muziki gani wakuu?