Who is your role model 2016-2017?

Vladimir Lenin, Vladimir Putin,Lupe fiasco,Hussein bashe
 
Naipenda Mno Technology ingawaje am a medical personnel ila hawa ndio Role Model wangu based on Tech

1.Fb Founder Mark Zuckerberg- Muda wote ananifanya niamini zaidi katika kile nachoona Ni thamani katika maisha yangu. Huyu jamaa ana amini ipo siku Dunia itakua Moja kwa kupitia FB. Licha ya Umri wake Kuwa mdogo lakini aliweza kuja juu Kiasi cha Kuwafunika Miamba kama Vile Google, Yahoo (Hata Bill Gates analifahamu hili). Wale Coders(Programmers wenzangu mnafahamu uwezo wa huyu jamaa katika Coding.

2.Bill Gates. Ni nan asie fahamu hata kuwahi Kuisikia Microsoft(Jumba la programms)? Licha ya Utajiri alio nao ila naamini katika Uwezo wake wa kufikiri na Kugundua mambo mapya juu ya Teknolojia Kila kukicha. Ni watu wangapi waliwahi kuiga nyendo zake ila mwisho wa siku walipasuka Msamba??. Amekua akiwainua watu wa aina yake (Mark Zuckerberg analijua hili).

3.Steve Jobes. Hakuna na haitakaa itokee Apple ya pili humu ulimwenguni. iPhone ni iPhone na Android ni Android hapo ndipo napomkubali huyu jamaa(Marehemu kwa sasa).
 
Mimi mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…