Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,217
- 29,406
Dah!na mkoani nimeolewa Ila sio kiivyo πππ
Dah! Yule Dada Mkao wake kwenye Avatar,Tu mimi hoi...Kumbe ndio maana ya Crush! Kwa hiyo ndio nimemkosa?
Furahia sasa ππAloooohh zamu yangu imefika π
Sasa tukome nini nawe ππMshaanza Tena mambo yenu, hamkomi tu
Safi sana πππππWangu anawapenz wengiii,nikimtag tutauana humuπ embu mi nijilie Kwa nafasi yangu mieπ₯°
Asante nimeshapoaPole kwa kuachwa
Naachaje kufanya hilo jambo kwa crush wangu pekee humu[emoji8]Abeee
!!Wee Hidu weeweee!! Jana nikakuomba kitu kule ukakimbia!! Nenda kanifanyie wepesi jamani!!
Hazina baya maana crush anaweza kuwa jinsia mwenza..Hizi nyuzi za namna hii, halafu msimu wa baridi π€π€π€
Hahaha usije kunililia Tena..... hahaha π€£Sasa tukome nini nawe ππ
Tutalia tutanyamaza,, kulia tu π mbona hatukomiHahaha usije kunililia Tena..... hahaha π€£
Mimi simo, naogopa sanaMimi nimesema ukweli bana kama wewe unapenda wanavyocrushiana bila kutuambia ni wewe me sipendi jamanβ¦
Haha π€£ hapa sioni uliyemtag ..... natamani nimuone huyo CrushTutalia tutanyamaza,, kulia tu π mbona hatukomi