Ana nguvu lakini still WESTERN wapo powerful
...... huyu ndo mbabe wa dunia nmkubali mpka bas ikiwezkana aongezew mudaVladimir Putin ni Rais wa Urusi toka 7th May 2012, kabla ya hapo alishakuwa Waziri Mkuu wa Urusi kati ya mwaka 1999 na 2000 akawa tena Rais wa Russia kuanzia 2000 mpaka 2008, kuanzia 2008 mpaka 2012 alikuwa ni Waziri Mkuu wa Russia. Mabadiliko yote ya kutoka Uwaziri Mkuu kwenda kuwa Rais ulifanyika baada ya katiba ya nchi hiyo kubadilika.
Kitaaluma Putin alikuwa ni kachero katika shirika la ujasusi la KGB ya Urussi alitumikia shirika hilo la ujasusi miaka 16 mpaka mwaka 1991 alipostaafu rasmi akiwa cheo cha Luteni Kanali.
Baada ya kustaafu Putin alijiunga na siasa na akahamia Moscow kujiunga kwenye serikali ya Boris Yelstin mpaka kufikia nafasi ya kukaimu nafasi ya urais wa Russia 31th December 1999 baada ya Rais Boris Yelstin kustaafu rasmi. Kitaaluma Putin ni Mwanasheria kutoka Chuo Kikuu cha Saint Petersburg Russia.
Baada ya vita baridi (Cold War) kwisha miaka ya tisini Russia ilipoteza washirika wake wa (Warsaw Pact) kama Poland, Romania, Cheslovakia, Ukraine, Georgia, Bulgaria, Ujerumani ya Mashariki nk. Urusi waliwekea mikataba ya upuguzaji wa silaha kali na za nyuklia na serikali ya Marekani.
Baada ya kutoweka kwa (balance of power) katika ya Marekani na Russia, serikali ya Marekani ilianza kuonyesha ubabe wake duniani kwa kuanza kuvamia Afghanistan, Iraq, Libya, Na serikali ya Marekani ikaanza kuweka silaha kali za vita kuelekea nchi zilizokuwa washirika wa Russia kama Poland na Ukraine.
Kwa kipindi Putin akiwa madarakani amerejesha nguvu ya Urusi kiuchumi na kijeshi na jambo lilichukiza sana nchi za Magharibi haswa Marekani, wakati wa uchaguzi wa mwaka 2012 Marekani na washirika wake kwakutumia shirika lao la ujasusi walitumia kila mbinu ili Putin ashindwe urais lakini kwa umaarufu ama kama mkombozi wa Urussi Putin alishinda kwa kishindo.
Baada uchaguzi wa mwaka 2012 Rais Putin madarakani kama simba aliyejeruhiwa akaamua kwa waziwazi kupambana na ubabe wa Marekani, mwezi Sept 2016 majasusi wa nchi za Magharibi walijaribu kumuua Rais Putin katika mpango huo Dreva wake alifariki kwenye ajali iliyopangwa kumuua Putin, kurudi kwa Russia kama Superpower kutazuia ubabe na unyanyasaji wa Marekani hapa duniani.
Rais Putin ataingia kama kiongozi jasiri wa karne hii.

Hebu tuambie nini maana ya mzunguTatizo hamjui vizuri Historia za Wazungu, Behind the scenes wazungu woote ni ndugu moja, hat a sikumoja mzungu hawezi kuwa radii wa Waarabu am a waafrika, Russia inachofanya no kujaribu th Kula mfupa uliomshinda Fisi, Marekani sana utajirizaidi ya trillion 16 sembuse Russia n.a. trillions 1 and a half
Putin akimaliza muda wake kikatiba anarudi kuwa waziri mkuu kisha anarudi tena kuwa rais kama alivyofanya mara ya kwanza, katiba yao ina ruhusu.Russia is powerful because of Putin ..Putin akistaafu u will hear nothing from Russia...USA is strong regime
hivi kuna rais anapendwa na raia wake kumzidi putin?
GDP ya russia ni ndogo kuliko ya jimbo la california tu..Nguvu za kijeshi zinakuwa determined na economy!!Huwezi kusustain Military adventures kama Uchumi uko taabani.Russia GDP yake ni ndiyo relative to US.
Sio kila sehemu hiyo GDP inafanya kazi ndio maana kuna vitu kama comparative na absolute advantage kati ya nchi na nchi.mfano urusi ipo vema ktk maswala ya kijeshi ni kutokana na technologia waliyonayo ktk mambo hayo! Inatumia watu wake kufanikisha hvyo si lazima atumie gharama kihivyo.nakupa mfano mwingine kati ya s.korea na U.K uingereza anauchumi mkubwa kuliko s.korea lakini kwenye mambo ya technologia s.korea wapo vzr kuliko u.k hiyo ina mpa advantage kutengeneza kitu kwa bei cheeNguvu za kijeshi zinakuwa determined na economy!!Huwezi kusustain Military adventures kama Uchumi uko taabani.Russia GDP yake ni ndiyo relative to US.