Who is this?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472


Halafu najiuliza tu. Wazungu mbona wana matatizo sana? Kwa nini wanaamini tu kuwa mwafrika ndio sijui nyani, sijui sokwe? Mbona hivi?
 
Unajua madhara ya hiyo nadharia lakini?

Nilipata kusema, na narudia tena, unyanyapaa utakuwa unyanyapaa endapo tu anayedhani ananyanyapaliwa ananyanyapaliwa! Kwa lugha rahisi inferiority feelings huanzia kwa victim! Mimi sioni shida hata kuitwa ng'ombe so far!
 
Darwin. Ambaye ana theory kwamba binadamu alitokana na Nyani. Akaanza na kujichora mwenyewe kuonyesha msisitizo.
 
Darwin. Ambaye ana theory kwamba binadamu alitokana na Nyani. Akaanza na kujichora mwenyewe kuonyesha msisitizo.
Sasa mbona hao mburula wenzie wanahamishia kwetu?
 
Nilipata kusema, na narudia tena, unyanyapaa utakuwa unyanyapaa endapo tu anayedhani ananyanyapaliwa ananyanyapaliwa! Kwa lugha rahisi inferiority feelings huanzia kwa victim! Mimi sioni shida hata kuitwa ng'ombe so far!
Kila binadamu ni dhaifu, na binadamu wengine hutumia huo mwanya wa udhaifu kudhafisha zaidi. Ila mi nina mtazamo tofauti kidogo na wewe. Dhaifu/anayenyanyapaa ndiye victim kwa kuwa angejiamini asingetumia udhaifu wa mwingine kuujichukulia ushindi. Pengine Darwin hakuwa dhaifu ila wafuasi wake ndio wadhaifu/victims
 

Hata siku moja usawa hautopata kutokea duniani na ndiyo maana kuna mifumo iliyowekwa ili kuhakikisha walau binadamu tunakaribiana inapokuja mahitaji ya msingi kwa maana ya chakula,mavazi,malazi na huduma ya kiafya. Tofauti ni kwamba ubora wa huduma tajwa utatofautiana kati ya tabaka fulani na fulani...ni vizuri kutune mind set zetu positively ili kuepusha kujengeana chuki of which zililetwa na historia na evolution ya binadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…