North or south,East or west, Pele is the best,and has never touched Cocaine.
watu wanashindwa kuelewa ukweli, ukiangalia pele amecheza mpira kipindi ambacho media hazikuwa kama kipindi cha maradona, kitu kinginge pele alicheza mpira wakati dunia ilikuwa bado kwenye lindi kubwa la ubaguzi wa rangi, lakini pamoja na hayo yote wazungu walimkubali Pele bila kujali rangi yake na alijulikana dunia nzima japo vyombo vya habari havikuwa kama vya wakati wa Maradona, pele kacheza mpira wakati ule wa "juu hakuna uwanja" kipa akidaka na akisukumwa mpaka golini refa anaita kati, uruguay ilikuwa inapiga kiatu kuanzia kipa mpaka striker wa mwisho, Maradona kacheza mpira wa kubebwabebwa mna Marefa, kameroun walimgusa kidogo tu akawatukana kuwa ni manyani
watu wanaomsupport maradona ni wale wasiofata historia na kujua fact, mimi sitaona ajabu kwa miaka michache ijayo watu watakuja kusema Messi ni Bora kuliko Maradona
umenichekesha sana kipindi hiki kipa akidaka na akisukumwa mpaka golini refa anaita kati, uruguay ilikuwa inapiga kiatu kuanzia kipa mpaka striker wa mwisho,watu wanashindwa kuelewa ukweli, ukiangalia pele amecheza mpira kipindi ambacho media hazikuwa kama kipindi cha maradona, kitu kinginge pele alicheza mpira wakati dunia ilikuwa bado kwenye lindi kubwa la ubaguzi wa rangi, lakini pamoja na hayo yote wazungu walimkubali Pele bila kujali rangi yake na alijulikana dunia nzima japo vyombo vya habari havikuwa kama vya wakati wa Maradona, pele kacheza mpira wakati ule wa "juu hakuna uwanja" kipa akidaka na akisukumwa mpaka golini refa anaita kati, uruguay ilikuwa inapiga kiatu kuanzia kipa mpaka striker wa mwisho, Maradona kacheza mpira wa kubebwabebwa mna Marefa, kameroun walimgusa kidogo tu akawatukana kuwa ni manyani
watu wanaomsupport maradona ni wale wasiofata historia na kujua fact, mimi sitaona ajabu kwa miaka michache ijayo watu watakuja kusema Messi ni Bora kuliko Maradona
Hii argument ni ngumu kwa sababu imejaa sana mapenzi binafsi na watu kujikuta wanagombana. Hawa watu walikuwa bora katika nyakati zao,na pia kuna kubebwa na uwezo wa timu nzima,hili kuna ambao hawalikubali pia na suala la kuwa Brazil ni kipenzi cha mashabiki wengi wa soka,linamfanya Pele kuwa juu.Good point, wakati ule hata yellow kadi haikuwepo lakini pele alikuwa anaweza kuteleza kwenye ngome kama nyoka,halafu hakuna video nyingi zinazoonyesha pele alivyocheza, hata hivyo ukiangalia youtube hizo chache zilizopo sio lazima uwe einstein kuona kuwa hakuna mchezaji hata mmoja aliyeishawahi kufikia hio level ya mpira.
hajachukua World Cup[/COLOR] na Argentina haipendwi sana kama brazil na mbaya zaidi amecheza Soka ktk nyakati ambazo soka limeongezeka kasi na sheria nyingi zimerekebishwa.
Ni maoni yangu tu.
....aah!! Ndege ya Uchumi,umechakachua maoni yangu! ...wewe ni mtundu kweli!Ukienda Kwenye Vitongoji vya Napoli Watakuua
That is why Maradona bado yupo kwenye Football because Football still needs him! Pele yeye anatafuta mchezaji anaeonekana kutishia uwezo wake ili aseme "hajafikisha goli 1000.....hajachukua world cup mara 3...!!Maradonna mpaka sasa akiingia uwanjani bado atasumbua tu
Magoli buku kitu gani bwana. Pamoja na kucheza makombe ya dunia zaidi ya matatu na kulichukua kombe hilo mara tatu lakini bado Pele amepitwa na Ronaldo de lima kwa kufunga magoli mengi kwenye michuano ya kombe la dunia (i.e 15). Diego alikua jeshi la m2 mmoja
Mfano Eusebio "The Great"Fereira.........Garrincha.......
ukiniuliza Ronaldo vs Messi or Zidane vs Ronaldinho ntakujibu but hao vibabu sijawaona wakicheza zaidi ya kuangalia short clips mtandaoni