Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba
Kama kupata uprofesa ilikuwa rahisi basi babu yako angekuwa prof...au unataka kumtusi babu yako alikuwa poyoyo?usitumie kichwa kuhifadhia nywele tu!Mazingira yalikuwa mazuri chochote unachotaka unapewa mpaka madaftari mashuleni yalikuwa yanagawiwa Bure kabisa we kazi yako kusoma tu.
Who's CCM mpaka tuwaamin? Uzuri unaweza leta evidence kati ya Shivji na CCM ni yupi amelitia Taifa hasara kwa kuingia mikataba ya kunyonyaji?Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba.
Ruksa kumkosoa kwa kupangua hoja zake; siyo kwa kumpigia kelele na kumuita majina mengi!Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba.
Unataka kusema kasoma DSJ halafu ana hoji elimu ya profesa?shida mfalme kasha kula chake, nasikia jamaa walishalipa dau na haliko kwenye maandiko yoyote zipo kwenye account za watu, kwa vyovyote vile lazima mzigo apewe.
Mabosi wako wanamjua shivji, hao wanasheria wote waliosoma mlimani, including kabudi, mwanasheria mkuu, katibu mkuu wa wizara, walishafunga mjadala mwalimu wao (guru in law) kashaongea. sasa wewe uliyesoma uandishi wa habari kwenye vyuo vya mkabara na sheli za buguruni kumkosoa shivji tafuta wanaoendana na wewe,
Serikali ni nani? Serikali ni wewe, yule na mimiHizi ID tumeshazijua kuwa ni za Serikali
Wapi pameandikwa nataka wazungu?Kwa Nini unawaogopa waarabu! Toa sababu ili tuweze kumpa mzungu unayemtaka
Hapo ndipo tutampinga. Hatumpingi mtu kwasababu ni Shivji hapana. Tunampinga mtu kwa kila anachokisema, kiamini au anachokifanya.Shivji wa kesho utamshangaa kwa U turn utasema sio huyu.
Serikali ni nani? Serikali ni wewe, yule na mimiHizi ID tumeshazijua kuwa ni za Serikali
Hapo ndipo tutampinga. Hatumpingi mtu kwasababu ni Shivji hapana. Tunampinga mtu kwa kila anachokisema, kiamini au anachokifanya.
Akili zako ni za kidamu damu kama umeona Boko Haram wana umuhimu kuliko Shivji basi wewe hamnazo kabisa.Maandiko yakutoe akili ukajiona huna akili mbele yake. Kila mtu anakili na akili ya mtu haitrgrmeani ni madarasa haya ya kukalili vya wazungu. Akili ni inborn ndo mana Boko Haram hawataki kabisa elimu hizi za wazungu mana zinajenga matabaka na watu kujiona hawana akili mbele ya aliyehudhuria madarasa
Umeishia la ngapi?Kwani nyie ni ndumila kuwili au bendera fuata uprepo? Hapo ndo mnapokosa trust ya wananchi
Umeshawahi kuliwa tunda kimasikhara?Mimi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to JK Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na Kabudi au Lipumba.
Unafikiri Mwarabu akichukua Bandari umaskini utakutoka?Maskini ni maskini tu hata kama umnyanyue vipi ,umaskini uanaanzia kwenye mawazo kama ya kwako MUNGU AMEKUPA KICHWA NA MIKONO pia KAKUPA AKILI lakini umeshindwa kuzitumia vizuri eti DP WORLD waje wakuondolee umaskini!Kwa kweli chanzo cha ufukara ni fikra,fikra hizi ni za kimaskini sana.Uwekezaji ni muhimu sana regardless how umefanyika. Tumechoka na huu umaskini wa kujitakia. Mbaya zaidi wachache wezi wa bandari ndo wanaonufaika at the expense of the majority. Ilikuwa kwamba ukiajiriwa bandarini basi umeula. Sasa basi
Sasa hivi ndo kuna mazingira rafiki, maana unaweza kupata material nyingi mtandaoni, kwa simu au laptop tu.Mazingira yalikuwa mazuri chochote unachotaka unapewa mpaka madaftari mashuleni yalikuwa yanagawiwa Bure kabisa we kazi yako kusoma tu.
Ushindwe kusomesha watoto na huku una ng'ombe kibao pamoja na mbuzi na mashamba halafu uje umkodishe Bakhresa akulelee mke na watoto pamoja na mali zako ili tu usomeshe watoto wako,je utakuwa mzima katika kufikiri?Kwa akili yangu kubwa naona uwekezaji ni muhimu sana regardless umefanywaje mana tumeibiwa sana na nyie wachache mlioajiriwa bandarini. Sasa basi
Nenda jamii za wamasai. Hawasomeshagi watoto ila Wana ng'ombe kibaoUshindwe kusomesha watoto na huku una ng'ombe kibao pamoja na mbuzi na mashamba halafu uje umkodishe Bakhresa akulelee mke na watoto pamoja na mali zako ili tu usomeshe watoto wako,je utakuwa mzima katika kufikiri?