Tuulize sisi tukwambie huyo Kiongozi wako Mbowe enzi zake wakati anafukuzia wanadada pale kwenye lango la Jangwani. Mbona sasa Mwenyekitu.
lazima ujuwe watu ubadilika
Huyu Benno ni mtoto wa Kamishna wa Magereza mstaafu,Comm.Onell Malisa.Nguvu yake inakuja tokana na urafiki wa karibu wa mtoto wa Mhe.Raid,Ridhiwani kwani inasemekana ni washkaji saaaana katika ile style ya Kikwete na Lowassa ya ''Hatukutana bara barani bali urafiki wetu una chimbuko kubwa".Amesoma UDSM LL.B nadhani mwaka 2005 class,correct me if i am wrong.Ni kijana aliyejizatiti lakini ndo hivyo anafuata matakwa ya wakubwa.Inasemekana ni mtu wa karibu na Mhe.Lowassa mtarajiwa wetu wa 2015??
Ili kuwa autwae uenyekiti wa UVCCM kipindi kile 2008 lkn alifungwa breki na Mkiti wa CCM Taifa baada ya maamuzi kua nafasi hiyo iende Visiwani..
Tuulize sisi tukwambie huyo Kiongozi wako Mbowe enzi zake wakati anafukuzia wanadada pale kwenye lango la Jangwani. Mbona sasa Mwenyekitu.
lazima ujuwe watu ubadilika
ndiyo wale wale wakurupukaji wa kutoa matamko
Kumbe ndiyo yanayoongelewa na Great thinkers? Naendelea kushangaaNafikiri nimeipenda hii.............. will be right back!
Tuulize sisi tukwambie huyo Kiongozi wako Mbowe enzi zake wakati anafukuzia wanadada pale kwenye lango la Jangwani. Mbona sasa Mwenyekitu.
lazima ujuwe watu ubadilika
this is out of point. Atleast we get chance to know you that you are among the gays who are paid to to misdirect us from discusing the issue to crap! Poor you
au wale mabaa medi pale boma la ng'ombe
Zaidi ya 2015 kwani Benno hiyo 2015 ana mpango wa kusimama Ubunge aidha Moshi Vijijini ama jimbo lolote lile.Yeye ni wa Moshi Vijijini.Baada ya hapo atakua kwenye duru la siasa za wakubwa yaani Bunge,Cabinet etc so watch out for this guy.He is not dumb as to say but he hugs the next leaders the like of Lowassa etc...Ok. Lakini sasa kwa nini hatumii akili! Akajua kuwa nguvu ya Ridhiwan inaishia 2015? Haihitaji mtu kutumia hata 1% ya uwezo wako wa kufikiri kujua kuwa Ridhiwan hana future kwenye politics kwa sababu ana uwezo mdogo kiujanja...
this is out of point. Atleast we get chance to know you that you are among the gays who are paid to to misdirect us from discusing the issue to crap! Poor you
Jaribu kuwa makini na lugha ya watu; gay na guy ni maneno mawili tofauti. Gay ni tusi kubwa ndugu yangu. And what is discusing the issue? Perhaps you meant discussing the issue.
Zaidi ya 2015 kwani Benno hiyo 2015 ana mpango wa kusimama Ubunge aidha Moshi Vijijini ama jimbo lolote lile.Yeye ni wa Moshi Vijijini.Baada ya hapo atakua kwenye duru la siasa za wakubwa yaani Bunge,Cabinet etc so watch out for this guy.He is not dumb as to say but he hugs the next leaders the like of Lowassa etc...