Pole sana kwa kupoteza one of you like minded. Najua sasa hivi umeshaanza kutafuta conspiracy theories of how Kagame killed Mtikila. Ngoja nisubiri hapa tu.
lol! hata wewe umechapia jMali, eti akiniona lazima anichulie hatua? OK hayo pembeni! nakuona kwa mbaaaali jinsi unavyo jipanga utimue, na hilo ndio tatizo lako unaposhindwa ki hoja... wengi hapa huwa unatupiga ban baada ya kukupelekesha lakini hauchelewi kujirudisha na kututafuta mwenyewe pale unapo pata bahati ya kuokoteza vijireport vya kizushi kama alivyo kuja navyo ndugu yako mugizibanabi!
kukimbia ukweli ndio mojawapo ya mambo yanayokufanya usirudi kwenu jMali! haya hebu niambie hao wakenya kwani wanasemaje? hata kama wanaponda si kwa sababu yenu, BBC na media zingine ambapo mnaenda kununua airtime ya kueneza chuki zenu? ipo siku wote watawagundua... nashangaa sana kuona watu wakirubuniwa na mijitu iliyokimbia nchi kwa kuuwa/wizi?
mimi sipo Mbezi jMali ndio maana hata kiswahili nachapia kukiandika... nina miaka mingi natumia kinyarwanda zaidi ya kiswahili, nisamehe kwa hilo! kama unavyojuwa huku kwenu lugha tunazotumia kuandika officially, kiswahili hakimo... labda siku za mbeleni kwani kiswahili nacho ni lugha muhimu sana kwenye hii region yetu.
haya kimbia salama ukitaka usirudi tena kwani hakuna aliye kuomba uje hapa jamiiforum kueneza chuki zako.
lol! wastaarabu hawaenezi chuki jMali! hiyo #tag imeshachoka ndio maana sihangaiki kwenda kuitafuta, hiyo nilishaileta hapa na tukaijadili , inakuwaje leo ndio unaikimbuka? au sumu zimekuishia?Hiyo yangu ni typo sio kuchapia. We hiyo ya kwako hata kuongea unaongea hivyo hivyo. Pili, huwa napumzika from time to time kuongea na nyinyi hivyo huwa nakuwa mstaarabu na kuwataarifu. Pili, nimekupa link ya kwenda kusoma mwenyewe maoni ya wakenya. Sasa cha ajabu huendi ila unaniuliza mimi, sasa huo ni uvivu au?
Tatu, nadhani tukubaliane kutokukubaliana. Wewe uko convinced kuwa mimi ni mnyarwanda, i can't seem to change your mind on that. Na wewe pia itabidi ukubali tu my theory kuwa wewe ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Rwanda. Siwezi kuendelea na mabishano kwenye uraia wakati neither of us can prove anything.
Sababu pekee ya wewe kufungua hii ID ni obsession yako na mimi. Anybody can prove this by going through your archive back from when you used to call me jumali remember? :wink: Sasa nimefikiria nikaona nikusaidie kwani nikiacha kuzungumza na nyie, mtafukuzwa kazi au mtanyang'anywa vischolarship vyenu.
lol! wastaarabu hawaenezi chuki jMali! hiyo #tag imeshachoka ndio maana sihangaiki kwenda kuitafuta, hiyo nilishaileta hapa na tukaijadili , inakuwaje leo ndio unaikimbuka? au sumu zimekuishia?
umenimaliza kwa kunikumbusha enzi za "jumali" a.k.a Jeanmarie! sasa siku zote hizo nimekuwa nikikuletea maendeleo ya kwenu lakini bado tu haujaona umuhimu wakuja kusaidizana na ndugu zako? nnanza kushikwa na wasiwasi, labda kuna maovu uliyoyafanya...
hapana, ni waathirika tu! ukweli uko wazi kwa kila mwenye macho kujitazamia, mi nafikiri zile articles zenu ndio zinapumbaza wengi...Kumbe tag unaijua sasa wale wakenya ni wenzangu au? Halafu zile swaga za kuniita jumali aka jokakuu ziliishia wapi?
hapana, ni waathirika tu! ukweli uko wazi kwa kila mwenye macho kujitazamia, mi nafikiri zile articles zenu ndio zinapumbaza wengi...
hapana! wewe unachofanya ni kutazama kama zinaendana na maadili yako ndio uzilete hapaZenu na nani wakati mimi mwenyewe nasoma na kuzileta hizo hizo? Kuna hata article moja uliyoona ambayo chanzo ni mimi kama mimi?
But why is this thread through jf. Rwandese are our brothers and sisters, msitugombanishe. I am a Tanzanian loving Rwanda as our neighbour and a country.
But why is this thread through jf. Rwandese are our brothers and sisters, msitugombanishe. I am a Tanzanian loving Rwanda as our neighbour and a country.
Rwanda 1994 Nursery students (0), by 2008 (145,000)
Rwanda 1994 Primary (900,000), by 2008 (2,200,000)
Rwanda 1994 Secondary (50,100) by 2008 (288,000) 475% increase as pop grew by 25%
Rwanda 1994 University (3,000) by 2008 (45,000)
By 2014 University has reached (90,000) enrollment while Primary and Secondary(6yrs) has become free and compulsory for every Rwanda Children. This is part of what Kagame did to Rwandans, he empower them as a result they drive their economy. the numbers are very small but if you analyze them closely considering the back ground it is a huge step.
All in all if someone questions what Kagame did to Rwandans he or she must be insane, he/she is letting his hatred towards the Man blind him. And am sure nothing can be done to such person he is beyond normal discussion. every institution in the world appreciate what has been done by the Man, the facts are there for every one to see the safest country where one can move around even at night in the World (Top 5) and many many accolades courtesy of the Man.
I can go on and on, but Empowerment of your people is the Best Infrastructure.
you real need prayers dear Niwemugizibanabi! so since the independence in 1962 until 1994(before you fled the country to DRC) you think it was not your government duty to build those basic infrastructure? you will find them everywhere in the world, even Somali which is at war for almost 3 decades to date, I can guarantee you, they have all those you mentioned... "bread today, freedom tomorrow?" what about "bread tomorrow and freedom tomorrow?" remember this is what was happening to Tutsis back then! a million of them never seen that "tomorrow" Mr Niwemugizibanabi... help me please, you mean freedom of the people to kill others? no thanks!
the problem is; most of you don't dare to Rwanda and see the real developments, listening to jMali's propaganda will keep you in the hiding while here in Rwanda we forgive even people like Rwarakabije if they properly ask for forgiveness... talking of achievements? here we go #250Achieved...
Bonge la post na hawawezi kutoa majibu hawa wakimbizi wanaoishi Tanzania kwa hisani yetu zaidi watatukana na kuruka ruka kama digi digi
aksante Mkuu! hizo demokrasia za kizushi zikiambatanishwa na chuki, zilipelekea watu wetu million 1 kuuwawa eti kwa sababu "majority rules" yaani miafrica inafikiria eti democracy ni kujiamlia lolote atakalo, jMali sasa sijui sheria zinatungwa kwa nini kama kila kitu ni ruksa? really democracy comes with responsibilities and accountability Cc: jMali, MOTOCHINI, JustDoItNow, bona
lol! mugizibanabi noneho uranyihe pe! naomba Mungu haya mambo uwe unayaandika kutokaa na ujinga... na tena na wewe uombe sana Mungu akusaidie uutokemo! kumbe huko ukimbizini wanawambia eti huku Rwanda ukiwa mpinzani lazima ufe? kwa kifupi huku hakuna upinzani? wote wapo makaburini? duh! hii kali, ila wacha turudi kwenye kipimo chako cha demokrasia... shamba la bibi kwako linamaanisha demokrasia eh? kweli dunia inatofautiana! kule china viongozi legelege na wala rushwa kama hao unaowafagilia huwa wananyongwa, je kuna chochote mnachowazidi? hivi wewe kama unaipenda demokrasia na kukufanya uifagilie saaaaana mbona haiwasaidii ku impeach hao viongozi wenu(ukimbizini) wanao fanyia uhanithi nchi zilizo wapokea?wee ukitaka rudi kwenu tu! huku tuko civilised, hatuna hukumu za vifo ila kila kosa utakalo fanya lina hukumu yake labda tu upate upenyo wa kukwepa mkono wa sheria kama Nyamwasaambia kuwa TZ kuna demokrasia za kizushi, ni mwanasiasa gani wa Tanzania amepotezwa ama amefungwa maisha simply because anataka kugombea uraais,pole sana
Nani aliku