Who are you uwafungie wapinzani ndani angali wewe unafanya kampeni?
Who are you ufanye uchaguzi mbovu na kuwalazimisha watu wakubali matokeo?
Who are you uuwe vijana wetu na uwalaumu wazazi kwa mauaji ya vijana wao?
Who are you uunde tume ya kuchunguza mauaji uliyofanya kupitia vyombo vya dola?
Who are you uwatukane viongozi wa dini nchini?
Who are you uwaingize watanzania kwenye mipasuko ya kidini?
Who are you?