Whites are smarter than blacks

What is being smarter.Do you mean the whites are more intelligent than Africans?That is nonsense and lies.Africans were the first iron smiths,how can you say they are not smart.Africans were the first to build a city,Babylon,Nimrod did it,and he was an African,how can you say we are not smart.Whatever you mean anyway,smartness is built,it is environmental because "Intelligence is the ability to acquire and apply knowledge and skills." What the whites did was shear evil,they erased our history so that we do not remember our potential,build an environment for us where we cannot acquire knowledge including providing an extremely inferior education system.In making sure that even the the slightest education we have does not help us, they also built an environment for us where we cannot apply our skills.Very sad indeed.
 
Mwafrika yuko vizuri kwenye kutungisha mimba tu kwa mwaka ana uwezo wa kutungisha mimba buku
Yaani seriously umekubali ujinga wao na wewe unajiona kweli uko inferior,you are not inferior wamekujingea tu mazingira ya kukufanya wewe ujione uko inferior,wake up.Anachofanya huyu ni harakati hizo hizo za kutufanya tujione tuko inferior.Waafrika ndio wa kwanza ku-develop superb technologies.Iron smiths wa kwanza walikuwa Waafrika!Wamefuta History yetu makusudi,ili tusi-realize our full potential.Mwafrika Nimrod,ndiye mtu wa kwanza kujenga mji,and that was Babylon.Sasa tutakuwaje inferior.They have used soft power all these years ili tujione inferior.They know our power,kwa hiyo waliona kwamba if they leave us unchecked hawataona ndani.Once more wake up,msikubali ujinga wao.
 
Ok sawa mkuu. Lakini kwa nn waafrika wenzako wakiona comment kama yako wana react na kuchukia kuliko hata wazungu wenyewe. Yani mwafrika yuko radhi afe kwa ajili ya kumponda ndugu yake anaemtetea na kumsifia kuliko mtu anae mdharau na kumu exploit.

Think about it. The sickness is too deep brother. Nimekuelewa

Utani: tuwapende wazungu ndo wameleta kila kitu hapa duniani. Historia ya utumwa ni uongo. Wao ndio miungu. Tunawapenda
.

Hey be smart! I hope yu are........
 
Ukikinzana na ukweli utapata sana shida,tukijikwamua kutoka kwenye hali yetu ndipo tutaheshimika vinginevyo maneno ya kujimwambafai sijui mwafrika sio inferior hayatutasaidia.Hali tuliyonayo ndio inatufanya tuitwe inferior na si vinginevyo
 
Ukikinzana na ukweli utapata sana shida,tukijikwamua kutoka kwenye hali yetu ndipo tutaheshimika vinginevyo maneno ya kujimwambafai sijui mwafrika sio inferior hayatutasaidia.Hali tuliyonayo ndio inatufanya tuitwe inferior na si vinginevyo
Hali tuliyo nayo imeletwa na nini,ndilo jambo la msingi.Remember,as long as you find yourself inferior hatajikwamua kamwe,has a ukizingatia kwamba misingi ya kutufanya tujione na tubaki inferior imekwisha kuwekwa has a elimu.Hivi umeshawahi kufikiria Hollywood ina kazi gani.Kama unadhani Hollywood ipo kwa ajili ya kukustarehesha wewe umeliwa,that is a soft power tool.
 
Pengine hali tuliyo nayo ni ya asili kiongozi hatujasabishiwa na hao wanaouita inferior.Naturally inferiority complex huja pale unayejilinganisha nae unamuona kabisa amekuzidi.Inferiority complex yetu inakuja automatically pale tunapoona kabisa hatulingani na wenzetu
 
, nilikwambia brother. Mtu atakae kuchukia na kukuponda ni mwafrika mwenzako. Wala hata mzungu hajaja kuku critisize.

Unaeongea nae ni mpaka umuelimishe ili mufikirie in the same platform. Otherwise ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Nilivokwambia "the sickness is too deep" hukunielewa

Just imagine kutreat mentality kama ya huyo mtu ambae kwanza at first anajidharau. Kazi ipo.
 
Mkuu we are so enslaved by using precise mind control techniques,brainwashing by the mainstream media,medication and and education kiasi kwamba most of us believe that whites are semi-gods.How stupid.Through years of mismanagement they have managed to make us believed that they are superior,so anybody who comes with alternative truth is seen as a liar and denying the obvious.We should change our mindset and accept the actual truth.Hawa jamaa I keep saying wamefuta kabisa historia yetu ili tusijue potential yetu,na wametuwekea msingi wa elimu mbovu ambayo hatuwezi kutusaidia kwa lolote.
 
No,no,no!Tungekuwa inferior tusingekuwa wa kwanza ku-invent technologies za kufua vyuma na kujenga mji wa kwanza duniani Babylon.Mji huu ulijengwa na Mfalme Nimrod ambaye alikuwa mweusi.Mkikubali uwongo wa Wazungu kwamba sisi ni inferior ndio watazidi kutudidimiza.Lakini kwa nini ukubali kitu kinacho kuzalilisha?This is funny.
 
Hivi kuna mzungu anaweza kua mpumbabu hivi!???
 
I know "the sickness is too deep," ila siwezi kuacha kuelimisha,watabaki na ujinga hawa.
 
Hivi mzungu awezakua mpumbavu hivi?
 
Ilo halina ubishi kabisa kwanza nianzie kwenye fitina wabongo tunapomuona mwenzetu kayumba kimaisha basi ndio tunazidi kumkandamiza na kumcheka wazi wazi shaidi humu humu JF kuna wadau tofauti tofauti washaweka nyuzi zao juu ya kuwekewa mizengwe mpka kufikia kufukuzwa kazi hali ya kuwa mtu uyo uyo aliyekufanyia unyama anakaa na kukucheka
 
Uenda tupo nao safari moja ila wao wako mbele zaidi na zaidi yes wako mbali hakika.
Labda nitoe mfano lile daraja la kigamboni mchoraji ramani ni mnorway kala 32b pale hiyo ramani tu hapo aliyekuja jenga mchina hahahahaha,nikajiuliza hivi hatukuwa na mkandarasi wa 5b achore wa hapa bongo? While we have Ardhi university? Je hawakuwa na wataalamu?
Hiyo moja pili lile mfugale flyover mchoraji unajua kala ngapi na pale ubungo interchange yote hiyo kazi kachora mzungu, sisi tuko wapi?
Sisi nadhani bado tunatatizo mwisho daraja la mkapa ni muitaliano yule.
Nadhani sisi labda kwenye meli tu sababu naona songoro marine anajitahidi kiasi ila kwa miradi mikubwa bado akili yetu haiwezi inapaswa tutafute namna japo tuna wataalamu wamesoma nje..atii!
 
Hivi kuna mzungu anaweza kua mpumbabu hivi!???View attachment 1566172
It's a pity,ila sio kosa lenu.Through the education they have imposed on us, the mainstream media,Hollywood and now the internet, wamefanikiwa sana kutufanya tuwaone ni bora kiliko sisi,lakini si kweli.Africans ndio waanzilishi wa technologies,walichofanya wazungu ni modifications tu.Halafu kitu kibaya zaidi walichofanya ni kufuta our past technological achivements or our history,ili waonekane kwamba wao ndio waanzilishi wa technology hizo.Hii imetufanya tusijue our potential na hivyo tujione kuwa hatuwezi kufanya kitu,hii si kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…