Whites are smarter than blacks

Nadhani binadamu kiakili wanaendana race zote. Tunatofautiana mazingira, malezi na tamaduni. East Asians ni wazuri wa kukariri, wako poor kwenye executions na maadili pia hawana sana kama wazungu. Mzungu anaweza asiwe super kama kukariri kama muasia, ila ni the best in execution and huwa wako vyema sana kwenye jambo la maadili na ethics (hamna rushwa za kijinga, na uonevu unaoathiri kazi). Waafrica tunabanwa na utamaduni; hatujiamini kama tunaweza kutatua matatizo yetu wenyewe, tuna poor morals, na tuna poor execution (rushwa mbele). Pia waongo sana, tunakwepa responsibilities kwa kuongopa
 


Vipi kuhusu Warangi vs Wajaluo? wepi ni smarter?
 
Funny.. It highlights African Americans and not Africans!


Nevertheless its a bunch of bull crap still!
 
Suppose this is true. Is there any scientific explanation of why the IQ of Jew is higher than the rest of human race as you have pointed out here?

An what is it all about? Is it about races (Africans vs Europens white vs Asians or is it about ethicicity? Jews?)
 
He is not white man, but a mentally retarded idiot.
 
Inferiority complex.
 
lakini wazungu wana akili
Sio kweli mkuu,they are a stupid lot,ndio maana wamebuni kila mikakati mingi miovu ili sisi tusiweze ku-develop our full potential.Walijua tuki-develop our full potential hawataona ndani.Tumesoma nao darasani kwa hiyo tunawajua,wasiwatishe hawana kitu.
 
Sisi ni wachumia tumbo. Selfish, na hatuna kiu ya kuyakabili mazingira tunayoishi na kuleta mabadiliko chanya katika jamii zetu.
Angalia mi- mi- professor inavyokimbilia kwenye siasa badala ya kufanya research mbali mbali ambazo zitaleta mabadiliko chanya kwenye jamii zetu.
Wakati Ulaya na Marekani ma- genius ndio matajiri wakubwa kutoka na uvumbuzi wao, ma- geneus wetu ndio hao tena. Anaweza kuongea kitu bungeni mpaka ukajiuliza kweli huyu ni yeye.
Mchango wao kwenye jamii zetu ni minute or miniscule.
 
Si kweli hi n white surpremace ambayo wazungu wanaifanya kwa karne nyingi Sasa kujaribu ku undermine black race....wanapandikza kwenye research scientist,politicians,book writters to justify their dominance...

Walichotuzidi n kuwahi kustarabika tu...

Though nakwenyewe miaka mingi iliyopta inasemekana Egyptian ambao walikua black ndo walikua wakwanza
 
Kwa nini karne ya 15 waafrika hatukuweza kutoka africa kwenda ulaya?

Kihistoria inaaminika kabla ya hiyo karne Afrika na ulaya kimaendeleo zikikaribia kufanana.
 
Vipi kuhusu Warangi vs Wajaluo? wepi ni smarter?
Kwa Arusha, Warangi ndio jamii inayorudisha jiji nyuma, hata elimu ya watoto wao tu hawajali ipasavyo.

Tuition tu hawawapeleki, wanabaki kupinga hatua za maendeleo na wana uswahili mwingi
 
Wakati wanabuni sisi tukafanya nini? Kwanini sisi hatukubuni mambo mbadala ya kupinga hayo ya kwao?
 
Mario,umefanywa ujidharau kwa kutumia soft power mkuu,you are not inferior,ungekuwa inferior wasingetumia nguvu nyingi kiasi hicho ili ujione kwamba you are inferior.It's common sense.Africans had splendid technologies before the Whites!Kwa kuliona hili wakafanya kila mbinu chafu ili tusi-realize our full potential,tuendelee kuwategemea na wanafanya hivyo mpaka leo.Mario we are superior to whites,tumesoma nao kwao hawana kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…