Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi zao hazikuachana na giza, roho zao hazikuachana na hila, mioyo yao haikuachana na kisasi. Siku...