Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Sisi bado hatujaanza kuwafanyia madharau tunawafanyia timing tu, lakini tukiamua kuanza kunyeta, mtakaa chini.Mumesahau vifaranga, Ng'ombe na wakenya tyliiwafukuka mkapiga kelele mwaka mzima?, mnajua ni kiasi gani wakenya walioko Tanzania wanavyonyanyaswa kila siku?, sisi ndio wazee wa roho mbaya, jaribuni kupitisha hayo Malori ktk barabara zetu
Waulizeni wakenya waliopo pale Namanga, hawachoki kufunga barabara na kufanya fujo kutokana na vituko tunavyiwafanyia.