Una uhakika na hilo? Bedbugs sasa hivi imekuwa ni tatizo kwa North America (USA na Canada). Kuna sababu nyingi ambazo zimetolewa zikiwemo kushindwa kwa pesticides ambazo zilikuwa zinatumika kuwaua wadudu hao.
Usiseme kwamba kwetu ni history kwa vile hatuna records zo zote zinazoonyesha kwamba tumeweza kuliondoa hilo tatizo kwa asilimia mia moja.