Which sms would you never want to receive::
7) Remember when I said I want to tell you something and you said it didn't matter and we had unprotected sex? am hiv positive....
Ah zote kawaida tu kwangu! Kama ni pregnant bac nimejitakia, kwann niogope? Kama its over pia powa, i dnt gv a Fword bout it. Ukinambia unataka ku date na my Ex ndo kabisaaaaaa ruhsa. Umepata ajali na gari yangu, well its owk, road accidents zinatokeA, ni lover wako sasa utamkaripia au? Kama amemuona dem wangu anamkiss mtu mwengine, i wl b glad, ntakua nshajua km demu hanifai, jamani hamuoni faida apo?
I still love you kutoka kwa Ex, dats cool, itanipa bichwa :-D
Hiv positive? Well it depends, pengine nimetumia kinga, so i wont care bout it at ol, okey vp kama cjatumia? Actually hata nkifanya sex sifanyi rafu, kitu soft nahakikisha hakuna mikwaruzo! Nothing to b scared of
Jibu lako ambalo hajawahi kulisikia wala kutegemea Kwani mim baba yako?Naomba hela darling......wakati hilo neno hakuwa hi kulitumia hata siku moja