Hahahaha! Khaa! Msamehe ndugu yangu aliteleza hapo juu. Ona alivyoungama kishujaa hapa chini. Huo ndio Unanaume sasa.smile=rejao alichokiunganisha mola? umeelewa au nikuandikie kiinglish cha kushoto kama iyo heading?
Babu hapa una chakuongea? smile my heart bit! nilikuwa namtania tu babu hapo juu!!
Inabidi tu niopt kule...maana huku kwingine kote anaibuka tu ka mzimu!Nilitaka nikusaidia lakini Hamad!....kaona kameshatia timu tayari. Kaone hapo chini. Adhawaiz twenzetu jukwaa la wakubwa nadhani hakana access ya kuingia kule.
Office language- lugha ya ofisini
Official language-lugha rasmi
Sidhani kama kuna kosa la lugha hapo. Mtoa mada anashauri wafanyakazi wa JF wawe wanatumia kiingereza katika shughuli zao wanapokuwa ofisini.
hiii kitu hadi invisible ameshtuka huko mafichoniinvisible eeh mfikishie ujumbe na pawsmile=rejao alichokiunganisha mola? Umeelewa au nikuandikie kiinglish cha kushoto kama iyo heading?
Inabidi aambiwe kuwa hii siyo name calling!! ni watu wawili walioamua kuwa kitu kimoja!!hiii kitu hadi invisible ameshtuka huko mafichoniinvisible eeh mfikishie ujumbe na paw
Hiyo heading yako tu, inafanya hoja yako isiwe na mashiko na Kiswahili ndio kiwe lugha kuu ndani ya JF. "office language" Khaa!
Hivi viinglish tunavyovisoma humu, mi naona ni heri tukienzi kiswahili chetu.
JF ni ya watanzania, na Kiswahili ni Lugha ya Taifa la Tanzania.
Kiswahili ni lugha ya Taifa!
asije akaziunganisha izi id bwana ahahaaa sijui ataziitajeinabidi aambiwe kuwa hii siyo name calling!! Ni watu wawili walioamua kuwa kitu kimoja!!
Duuuh iko sexy? Office language?? Weka vizuri bwana!
Babu niko pembeni yako...
asante😛oa
who are you by the way????My take. English should be official language, simply
First
Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality)
Second
Its lovely and sexy language compared to Swahili language ( Sexy)
Third
Its language of our last rulers before independence ( 50 years of Uhuru) lol