Habari zenu wakuu,
Nataka kujifunza programming language kidogo, its my hobby and also i have plans. Sasa nimeanza kwa kutaka kujifunza JAVA, ebana hii kitu i dont think kama ni nzuri kwa beginners maana inachanganya kisha ukiwa katika development enviroment ndo kabisa nlikua naona marue rue, maana sijui mpaka uimport functions ambazo hata sijui uzitoe wapi, ilimradi ngoma nimeanza kuiona ni ngumu. Nilikua natumia netbeans.
Nahitaji kujua kutengeza application za android, nikaona nijifunze java lakini ndio hivo. Hivi kuna alternative yoyote ile? I mean which language is the best to learn for beginners?
Anza na C language maana language zote base yake iko kwenye C then baada ya hapo ndo uanze OBJECT ORIENTED PROGRAMS(OOPS) kama C++ na zingine,JAVA nayo inabidi uanze na basic JAVA then ndo uende advanced JAVA ambayo itakupa upeo wa kuanda hizo application,unahitaji kujipanga vizuri C language ya msingi kuimaster coz ukiiweza hiyo remaining language hazitakupa tabu sana.
Ushauri wangu jipange vizuri maana hizo language siyo kiswahili ziko tight ila ukijipanga fresh utafanikiwa
All da best!
Napenda kuwashukuru nyote mlionisaidia katika mawazo, kwa kweli michango yenu yote mizuri.
By the way VISUAL BASIC naskia ni mambo ya kudrag and drop and program ilotengenezwa na VB ni easy kuwa exploited!
My view: Anza na scripting language ya PHP(provided kwamba tayari una knowledge ya HTML). Itakuintroduce kwa vitu vingi ambavyo viko similar na languages nyingine. From PHP ndio nenda kwenye languages nyingine like visual Basic, C , Java ,etc.
Usianze na C hayo ni makosa, anza na lugha modern kidogo Java, C# au Python. Uzuri wa C# (.Net) development environment yake ni nzuri sana na haina setup process isiyoeleweka unadownload na kuinstall Visual Studio Express unaanza kazi Free Developer Tools - Visual Studio 2010 Express | Microsoft Visual Studio . Hauhitaji kujua C kujua C++ wala kujua Java na zaidi ya hapo haitakusaidia kujua Java.