Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,137
- 33,547
FAFO kumbe ni project ambayo sasa kila ditekta kama mfano wa maduro inakuja kwake.
Wamarekani washasoma mchezo sasa nchi nyingi raia wa nchi za maditekta wanakosa haki na democracy.
Hii project nimetonywa na endelevu ndio maana leo umeona Umoja wa afrika wamekuja kimbele mbele š nao wanakemea kilichofanywa.
FAFO kwa ajili yenu maditekta. Binti msumi wenzako wanakuja kunyolewa