Sawa mkuu ila Complex kama jina inaogopesha lakini Complex kama topic ni tamu sana. Kumbe uliishia kwenye Maclaurian series, haina mbaya mkuu, pamoja sana.
Kweli mkuu, ila nilikuwa natisha, hata mwalimu wangu wa namba aliposikia nimechupuka alisikitika sana, aliona kama Taifa limepoteza, niligundua watu wanaotesa hapa mjini ni wanaosoma fani rahisi rahisi, mtu kasoma HR ndo anaamua hatima yako kazini, nikaona upumbavu gani huu wa mimi kuumiza kichwa nakesha nahangaika, nikachepukia kurahisi nikawa nasoma ratiba ya mitihani ikitoka na siku zingine nakula bata tu na sikuwahi kukamatwa.
Dr Ruge sasa hivi ndo mwenyekiti wa chama cha hisabati Tanzania,Dr Kakiko katuonea sana kwa kutuleta sept conference wakati anafundisha eng Math chuo cha UCLASDr. Charles Wilson Mahela muda mwingi hakai sana nchini labda amuone Dr. Ruge, Dr. Kakiko, Dr. Alphonce, au vijana kama Mr. Sima, Mr. Mwanzalima, na wengineo.
Naomba kama kuna m2 anafahamu wapi naweza kupeleka new theorems zangu za hesabu (new mathematical invention) zinazo husiana na topic ya complex number ili niweze kuzipublish kwani ni theorems ambazo hazijawai kufanyiwa ugunduzi wala uvumbuzi wa aina yoyote kutokana na peruzi zangu kwanzia mwaka 2010
Help me pliiiiz guyz
(Swahili mathematician)
.made in mby city.
Wewe Ni Muongo!Kwaza hamna kitu kama Mathematical inventions bali kuna ugunduzi ambao unahusiana/ unaendana au kutokana na Hisabati, Pili Kama ni kweli unadili na Complex numbers kwa ngazi hiyo basi mpaka sasa tayari ungeshajua Ni wapi pa kupeleka hypothesis/theory zako!
One may sometimes indulge even some patients with symptoms of "delusions of grandeur" and other narcissistic complexes as part of a gradual exposure therapy.
Dr Ruge sasa hivi ndo mwenyekiti wa chama cha hisabati Tanzania,Dr Kakiko katuonea sana kwa kutuleta sept conference wakati anafundisha eng Math chuo cha UCLAS
One may sometimes indulge even some patients with symptoms of "delusions of grandeur" and other narcissistic complexes as part of a gradual exposure therapy.
Nashukur kwa maoni yako, nimewatembelea wanafunzi wa vyuo zaid ya 17 wanao hucka sana na mamb ya engeneering ambao wako likizo homeland, nlipo waonyesha na kufanya proof ya iyo theorem, they replied dat "ther iz nothing wrong about it but we can do nothing 2help it workout". Nlimtafuta mwalimu wangu (MAHALA) alienifundisha hesabu pale PANDAHILL sec school, ambae pia ni lecture wa vyuo vya TEKU na MUST hapa mbeya, nmeshindwa kumpata kutokana na xafar nyingi sana, na ratiba zake zinazomkaba
.made in mby city.
Si mtaalamu wa field ya hesabu lakin kwa kua uko mbeya jaribu kumtafta Prof OSMUND KAUNDE hapo mbeya univers of scienc and technology ni mtaalamu wa hisabat alikua chuo kikuu cha dodoma na sasa ni mtaalamu wa hesau na taaluma hapo MUST. Simjui kitaaluma bt ni mtu poa anaweza kukusaidia en coz uko mbeya itakusaidia kupunguza gharama pia.
Ahsante;
Hesabu haina kitu kama haki milikiTafuta haki miliki take COSOTA then ufikirie Ku publish